Search results

  1. daughter

    Movie nzuri ya kuangalia mkiwa wawili wa jinsia tofauti

    Aongezee Sex Life ila ni series
  2. daughter

    Series (Special thread)

    hiyo Lupin ndio nataka kuiangalia next,nimemaliza BRIDERTON ni motooo
  3. daughter

    Wewe ungekua mzazi wa huyu mtoto ungemfanyaje?

    You do nothing. Kama mzazi umeweza kulipa pesa zote hizo na ulikuwa unafatilia homework,tests na vikao vya mara kwa mara vya parent teacher and student kujua maendeleo ya mwanao, this will not come as a surprise. Hapo baba amereact ni kama hajawahi kuona kazi za mtoto the whole year. Otherwise...
  4. daughter

    Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    Natafuta raum ya 10m
  5. daughter

    Tafakari yangu na Kisarawe

    You are a disgrace to manhood Sent using Jamii Forums mobile app
  6. daughter

    Series Kali isiyochosha wala kukinai Tafadhali!

    Naomba iyo link mkuu
  7. daughter

    Habari njema kwa wanawake wenye matiti yaliyochapa usingizi

    LET THE FALLEN HEROES/SOLDIERS BE
  8. daughter

    Mtoto wangu tangu amezaliwa hafumbui macho wala hatikisiki

    Pole sana,wote wewe na mkeo mnahitaji uvumilivu na ujasiri katika kimlea mtoto mwenye tatizo hilo.Mungu awape wepesi.
  9. daughter

    Hivi kwanini wanawake hawapishani kwenye siti wakiona mwenzao mjamzito kasimama?

    Mimba sio ugonjwa jamani,hatuwapishi kwa sababu tunajua hawaumwi. We've been there done that,nyinyi ambao hamjawahi ndio mnachukulia kama mimba ni booonge ya ulemavu.
  10. daughter

    Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

    ×× /,,;,,-? ??=4,?
  11. daughter

    Tuwe makini na juice hizi jamani{ Juice za Azam}

    Nimeiona hii kitu asubuhi sana kwenye forums za wakenya. TFDA na TBS tunaomba majibu.
  12. daughter

    Geor Davie ni nani?

    Tupia picha za hilo kasri na sisi tuone
  13. daughter

    Naomba namba za fundi wa nguo za kike

    Wakikupm na mimi naomba unitumie pls
  14. daughter

    Swali kwa wazazi na walezi: The Diaper Dilemma

    Anza potty training taratibu akizoea unaachana na diapers. Lakini jaribu kuchange diaper brand maybe he/she is just not comfortable with the one you are using now.
Back
Top Bottom