Wewe ni hovyo sana. Unapo kwenda vitani ili kulikomboa taifa maana yake una risk maisha yako na mambo mengine kwa faida ya walio wengi. Madaktari si kwamba wanapambana ili kupata mishahara mi nono tu bali kujaribu kufanya mazingira ya utendaji kazi kuwa bora zaidi kwa mgonjwa na mtoa huduma...
Kwa mtazamo wangu binafsi huyo mama hata kama anaumafia wake hawezi kuwa na ujasiri wa kupanga mauaji kwa njia ya jinsi hiyo.
Naungana na wachangiaji wengine kwamba mipango ya kumpoteza DR. itakuwa ni mipango kutoka juu zaidi. Nina mashaka sana kwamba Mr Pinda anahusika moja kwa moja katika...
Inakusaidia nini. Hawafanyi maandamano kwa faida zao binafsi bali kwa faida ya watanzania wote ambao wanahitaji haki sawa. Mnajaribu kuwatoa watu kwenye mada. Na kwa taarifa yako maandamano ya jinsi hiyo yana andaliwa nchi ingine pia.
Labda ni PHD ya ufisadi na ya kuiingiza nchi katika Janga la umaskini zaidi. Hii ni njia mojawapo ya kuididimiza Elimu yetu kwa kupeana degree zisizo stahiri. Kuna tofauti gani na kupatia mfanyakazi wako wa ndani masters kwa kuweza kumwogesha mtoto wako..! Ukifananisha alipotufikishaga Mkapa na...
Hawezi kuwa na raha na hata weza kuwa na raha kwasababu hata watu walio mzunguka wamemchoka japo kuwa hawawezi kumuonyesha wazi wazi.Hapa issue ni kuomba msamaha mbele za watanzania, Unapo mtazama Rais JK kwa sasa utagundua wazi ni mtu mwenye mawazo na msongo wa akili.
Nilijadiri hili na huenda...
Aisee Pasco nadhani una lako jambo..Jinsi unavyo muongelea huyu mzee inaleta hisia hisia za kutaka kutufanya tuone kama vile umetumwa au kwa njia moja au ingine utakuwa kwenye mtandao fulani fulani hivi na kama si kwamba upo karibu nae au huenda unafuatilia mambo yek kwa ukaribu...Kweli endelea...
huyo owino inaelekea hata huko uk kapelekwa na ccm. Na huenda hata pamoja na kuishi kwake uk hana connection yoyote ya kisiasa zaidi ya katiba ya ccm aliyotoka nayo tanzania.
Kama mtu hujui siasa ni vema ukakaa tu kimya kama mimi. Na kama huna points za kuandika si lazima uandike chochote...
Huyo Mama atarithi ugonjwa wa mkuu wa kudondoka....!! Hii kazi ya uspika nadhani angeikataa na kujaribu kubaki kwenye unaibu spika... Hawezi kuendesha Bunge/ Nchi kwa jaziba. Ataligawa bunge na watampinga na kumtoa. Tambua si wabunge wa vyama vya upinzani tu wenye muonekano wa mabadiriko bali...
Miaka 5 kuanzia sasa hadi 2015 sitegemei kama tutabakiwa na viongozi wengi..Sita shangaa hata wengine wakadondoka na kushindwa kusimama kabisa....Laana za watanzania maskini na wanyonge zitawafuata popote mlipo.
Hata vitabu vya mungu vimeandikwa kila mwenye kutenda dhambi atahukumiwa na hukumu...
Takwimu zipo zinafanyiwa kazi...! Japo NEC wanataka kuwahi kutangaza mshindi ili kuwa block Chadema..!!!Hii kazi inafanyika kimakini zaidi na si kama wengi wetu tunavyo elewa...Wanao tishia kuvunjika kwa Amani nchini kutokana na kuyapinga matokeo ni watu wabaya na wenye nia mbaya ndani ya...
Point less !!!!! Unapo kwenda kupambana kwenye vita huvai military army helment kwenye uwanja wa mapambano bali unajiandaa kule ulikoiweka kambi yako..! Wakati Osama anaishambulia Marekani nadhani yeye hakuwepo Marekani..!!!! Demokrasia inatafutwa mahali popote na kwa umbali wowote.!! Hata ndugu...
Mambo mengine yana chosha akili kabisa..!! Ukimsikia mtu mwenye akili timamu ana support utawala wa Mh. Jakaya Kikwete ni shida kubwa na ina leta mashaka sana!! Inanisumbua kichwa kusoma post za ajabu ajabu za kumsupport huyu bwana.
Kwa kupoteza viti vya ubunge ni ishara kubwa kwamba watu...
Mambo mengine yana chosha akili kabisa..!! Ukimsikia mtu mwenye akili timamu ana support utawala wa Mh. Jakaya Kikwete ni shida kubwa na ina leta mashaka sana!! Inanisumbua kichwa kusoma post za ajabu ajabu za kumsupport huyu bwana.
Kwa kupoteza viti vya ubunge ni ishara kubwa kwamba watu...
Rais Jakaya Kikwete amesisitiza kuwa serikali itajenga barabara za juu kwenye makutano ya njia na kuruhusu treni kusafirisha abiria katika jiji la Dar es Salaam ili kumaliza msongamano wa magari.
Kadhalika, serikali imesema itajenga barabara za zege kwa thamani ya Sh. trilioni 7.3 kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.