Brazil kwa kuuza soy beans pekee inaingiza Usd 35 billion..zaidi ya budget yetu nzima!
Mbona hatufikirii kukipa bust kilimo cha umwagiliaji ambacho kitaajir lots of pple na kupunguza umasikini,haya madude yananunuliwa kwa pesa mingi na pia maintanance yake ni kubwa mno, lets be real,namna hii...
Issue ni serikali kuendelea kukomalia kukopa , kuweka kikokotoo kumbana mtumishi ilihali kuna ubadhirifu wa kutisha kwenye ripot ya CAG na hakuna kinachofanyika.
Ni ukweli, wenzetu Kenya wako mbali sana mathalani kwenye majiji..
Mwanza,Arusha na dom hamna inayosogelea Mombasa, tupige kazi wabongo kelele hazitatusaidia ilhali kila kitu kiko wazi!
Kama umeweza generate 1b, huwezi pelekea watu wengine pesa zako wazifanyie kazi ilihali wewe unaakili ya kuizungusha, uchum wetu ulivyokaa,biashara ndio kitu kinawez mtoa mtu kwa haraka tofauti na ughaibuni.
Kelele zimekuwa nyingi kuhusu kikokotoo, hamna kauli dhabiti iliyotoka toka kwa "Vyama vya Wafanyakazi".
Kazi ya hivi vyama binafsi siioni zaid ya kuvalishwa sare na kuandamana Mei Mosi, serikali tafadhali ongeza kikokotoo mara buku hadi akili ziwakae!
Kila mtu analalamikia chumbani kwake...
Na inawezekana ikapita kabisa!
Cha kusikitisha hawaongelei maelekezo ya CAG kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma na kubana matumizi yasiyo ya lazma!
Hata makisio ya Shabiby ya kukusanya trillion 2 bado zitapigwa tu,koz hamna uwajibikaji serikalini!
Shida bongo tunaingiza siasa hata kwenye vitu visivyohitaji siasa hata kidogo.
Kuna magazeti ya leo ukiyasoma yanavopingana na ukweli unaoendelea pale bandarini utastaajabu na kujiuliza maswali mengi sana yasiyo na majibu.
Bandarini tutaona vimbwenga vingi sanaa, ule mkataba wa kuforce lazma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.