Search results

  1. sumaibra

    Kidato cha nne 2012 na kidato cha sita 2013 ndio matokeo halisi

    Form four ya 2012 si ndo mligaiwa maks za burebure. Ile nayo ujinga tu. Form four ya kiume ni ile ya 2009
  2. sumaibra

    Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Acha pumba zako. Naongea kwasabab nshafanya nao kazi. .
  3. sumaibra

    Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Waende na viwandani Kuna wahindi weng wameshikilia nafasi ambazo watanzania wanaweza fanyia kazi
  4. sumaibra

    Msaada wa kioo cha simu TECNO SPARK #

    Je simu ikiwa out of warranty. Nalipia gharama za ufundi? Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
  5. sumaibra

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

    Mgombea wa Zanzibar leo kaonana na wawekezaji Sasa kaonana nao kama nani?
  6. sumaibra

    Wanaomba ajira TAMISEMI kwa mfumo wa ''OTEAS'' tukutane hapa

    Index number inaingiza katka format gan?
  7. sumaibra

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Na sisi wenye degree za engineering poa tuombe ualimu. Si ndo maana ya tangazo au kuna sehem sijaelewa?
  8. sumaibra

    Mechanical Engineer, naomba mnisaidie niweze kupata walao ajira ili niweze kumudu gharama za maisha

    Yes. Hapa sasa umesomeka vizur sana. Umezungumza yale nliyokua nayo kichwan lkn nkashindwa kuyaandika. Sabab mm pia ni mhandisi wa umeme ila nlivyomaliza chuo nkaacha gamba nyumban nkaamua kujifunza kazi. So naongea nnachokiishi.
  9. sumaibra

    Mechanical Engineer, naomba mnisaidie niweze kupata walao ajira ili niweze kumudu gharama za maisha

    Kubali kueleweshwa mkuu. Hizi level za elimu zimegawanywa kwa maksudi. Kuanzia artisan mpaka engineer. Artisan mara nyng huwa anakomaa na kitu kimoja mpaka anamaliza veta na anatoka anakijua vzuri. Ila engineer akiwa chuo huwa anagusa kila kitu juujuu. Maisha baada ya chuo ndo yanampa mwanga wa...
  10. sumaibra

    Mechanical Engineer, naomba mnisaidie niweze kupata walao ajira ili niweze kumudu gharama za maisha

    Hali halisi mtaani iko hivyo hasa katka hii fani ya ufundi. Veta wanapata sana ajira sabab wanapga kazi nyng and kwa mshahara mdogo.
  11. sumaibra

    TTCL waja na toboa bando

    Ndo maana nalitafta hapa silioni.. Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
  12. sumaibra

    Naomba anayewajua EXACT MANPOWER CONSULATING anisaidie

    Uliombaje hapo na sisi wengne graduates tupeleke particular zetu
  13. sumaibra

    Haya Watu wa ICT fursa nyingine hizo

    Naunga mkono hoja
  14. sumaibra

    Ombi: 2020 Paul Makonda tunaomba ugombea ubunge jijini Dar es salaam

    Ameshakamlisha yapi Kila analopanga hua halifanikiw Linaishia njian tang awe mkuu wa wilaya Sent using Jamii Forums mobile app
  15. sumaibra

    Mpenzi wako akiwa na app hizi kwenye simu yake ujue anachepuka

    Ngoja nchek moja baada ya nyngne Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom