Search results

  1. Munusco

    Hebu soma kisha toa maoni kwa serikali yako

    Tulipo maliza season ya bombadia,,,sasa hivi tuko kwenye season mpya inaitwa faru john,,!na tuko epsod 4,ambapo kaburi lake imesadikika kuwa halipo,tusubiri epsod ya 5,tujue nani mkweli kati director na waigizaji...!!tutafika tu 2020,,!!
  2. Munusco

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Hata siku moja pumba haziwezi kuwa mchele...!!!kuna mwenye dunia yeye ndio anajua nini kinaendelea kwenye dunia yake
  3. Munusco

    Mwigulu Nchemba usilalamike, Wewe ni mmoja wa waanzilishi wa siasa za "kuchafuana" na "kutesana"

    Hakuna jiwe litalo salia juu ya jiwe,,,!katili uhai wa mwenzio na wa kwako na kizazi chako utatendewa hivyo hivyo.hakuna mwenye mkataba na mungu
  4. Munusco

    Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Hivi farao alikuwa je kweli
  5. Munusco

    Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Emungu tunusuru na mambo hayaaa
  6. Munusco

    Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

    м?◎?◎ Ѧм?ʊηℊї℮ ♭Ѧ♭Ѧ мẘѦηẕ◎... м?◎?◎ Ѧм?ʊηℊї℮ ♭Ѧ♭Ѧ ηʝ℮&#8494...
  7. Munusco

    Picha: Warangi ni warembo balaa!

    Warangi.....!!!!!!! Ndio rangi gani hiyooo
  8. Munusco

    Mchepuko unapokuachia kumbukumbu isiyofutika maishani mwako

    Rubi ww sindio umesema moyo wako utembe na yule. Ukiona mwanaume na ufundi wake wote anashikwa masikio na binti ujuehuyo ni mgeni wa mambo
  9. Munusco

    Mchepuko unapokuachia kumbukumbu isiyofutika maishani mwako

    Mkiambiwa mfanya uzinzi ujanani.ili mje mtulie na wake Zenu mnajifanya mnauchungu sana maisha mkisha pata kidg tu mapenzi yana anza kuwapelekesha kama gari bovu.haya sema huyo Dada in kabila gani nikupe dawa.na Sikh zote INA takiwa mwanaume amshike mwana make.nasio kinyume cha apo
  10. Munusco

    Tumejaribu kufanya mapenzi/sex bila mafanikio

    Mwambie jamaa SAA anaweka huo mpini kwenye jembe.akupige makofi hata ma 2 ili uvumilie maumivu hayo kidogo
  11. Munusco

    Elections 2015 Lembeli tumbo joto Kahama

    Acha uongo ss wana kahama ndio wamuzi wa mwisho. Na hii ngoma magamba nyie hamchomoki hapa kahama.....!!! Ww kula za kishimba alafu pita hiviiiiii.....!!!!! Tukutane October..!
  12. Munusco

    TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    Kahama leo tuna siku ya pili mfululizo umeme hamna,tuna subiri 25 october,na sisi tufanye yetu,ilitueshimiane.
  13. Munusco

    TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    Kahama leo siku ya pili giza
  14. Munusco

    Mahusiano na mawasiliano

    Wabongo MNA amini kupigiana cm hovyohovyo ndio upendo wa dhati kumbe wapi...!!!95% ya watanzania wana penda sana ngono by twaweza.
  15. Munusco

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Usinoe panga kwa kuta mgomba
  16. Munusco

    Mtoto wa mama wa kambo ananitega

    Mkanye Mara 1 alafu mwambie asirudie tena maana akizoe sio vizuri. Usipo MPA anaweza kusingizia ume mbaka ikala kwako.unajua Bi wa dogo walivyo na nguvu kwenye familia za kibongo
  17. Munusco

    Mgogoro kutokea UKAWA

    Hamna haja wa kuwa na hili jukwaa sasa,kama pumba kama hizi zina wekwa hapa,,????
  18. Munusco

    Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Tunashukuru mungu tumeanza kuanza kuziona nyeti za kuku bado mapema,hata walio lala wataziona na kuzi jua na kufanya maamuzi sahihi,wapi lembeli mbunge wa kahama kupitia club kubwa chademaaa,,!@pipozzzz..!!
Back
Top Bottom