Search results

  1. M

    Elections 2010 Bukombe kwa Profesa Kahigi vipi?

    Kuna mwenye fununu hali inavyoendelea Bukombe kwa Profesa Kahigi?
  2. M

    Elections 2010 Hali ya Bariadi

    Lete taarifa zaidi mkuu. Mzee wa vijisenti vipi? Bwana Mapesa je???
  3. M

    Elections 2010 Ukiona kwa Michuzi na Mjengwa kimya, jua mambo magumu CCM

    Pengine Ankal bado anachuja comments ili achakachue zote zinazosakama CCM. Naona huwa anatumia muda mrefu kuchekecha makomenti yote yale na kuamua ipi inapigia debe CCM aibandike na zingine zote zenye mawazo na hoja mbadala azikatae. Alianza vizuri sana lakini sasa asipokuwa mwangalifu blogu...
  4. M

    Nini Nimejifunza kutoka Ze Utamu na RM/RA Saga

    Mwanafalsafa; Mimi bado mgeni hapa na pengine nimekosea. Samahani kwa hilo. Kuna hoja nyingi za kisiasa ndanimwe!
  5. M

    Mke wa mtu.

    Cha kuiba daima ni kitamu - hata kama ni cha hatari namna gani. Jaribu kujifanya kama unamuiba mkeo na utaona matokeo yake...
  6. M

    Nini Nimejifunza kutoka Ze Utamu na RM/RA Saga

    Nimeiona hii makala ndefu yenye uchambuzi wa kina kuhusu mkabala mzima wa jamii ya Tanzania - inakotoka, jinsi ilivyofikia kuwa na tovuti kama ZE UTAMU, athari za utandawazi pamoja na changamoto la nini cha kufanya. Ni makala nzuri ya kiuchambuzi ambayo pengine itakuwa vizuri tukiijadili hapa...
  7. M

    Kipi Kiswahili sahihi?

    Kuhusu wanaume kutoitwa kwa majina ya wake zao nadhani ni matokeo ya mfumo dume mbao wanawake bado wanapambana nao. Kumbuka kwamba katika jamii nyingi mwanamke alikuwa ni kama "mali" ya mume na kwa lojiki ya kawaida mmiliki hawezi kuitwa kwa jina la mmilikiwa. Kufanya hivyo ni kumdogosha yeye na...
  8. M

    Nikaribisheni

    Ndiyo tu nimejiunga na forum hii. Naahidi kuwa mwanachama productive nitakayeshiriki katika mijadala kwa hoja. Ninaleta post yangu ya kwanza muda si mrefu ujao.
Back
Top Bottom