Search results

  1. D

    Hizi ndizo faida za wawekezaji

    Ukweli ni kwamba wazungu wanamwona Mwafrika kama nyani tu na wanaweza kumtendea chochote wapendacho. Kinachosikitisha ni kwamba hata Serikali yetu tukufu ambayo ndio ilitakiwa ilinde utu na thamani ya Mtanzania nayo ina mwono huo huo. Wananchi ni lazima wapambane si tu na hao wazungu wabaguzi wa...
  2. D

    Tohara kwa Wanawake ina faida gani?

    Kusema kwamba kutahiri wanawake ni "female genital mutilation (FGM)" ni sawsawa na kusema "breast implant ni female breast mutilation (FBM)". Tatizo sio kutahiri wanawake au kutahiri wanaume. Tatizo ni Mwafrika kujiamini na yale anayofanya. Mimi naamini wale walioanzisha hiyo tabia ya kutahiri...
Back
Top Bottom