Search results

  1. B

    NMB Wami Branch Morogoro jipu . . .

    Pierre, mim naona umeenda wami nyingine si ya morogoro mjini, hapa kiukweli tunaudumiwa vema sana, teller wapo vibandani all the way..na mimi binafsi nimpongeze customer managed mama yule yupo vizuri na shap sana kuhudumia mteja na mtu aliye kwama. Keep it up wami morogoro kupanga folen ndefu...
  2. B

    Kama si Bunge la Katiba, Samweli Sitta angekuwa Rais

    ccm walishamwangushia jumba bovu ktk katiba
  3. B

    Kauli ya Mbunge Lusinde: Wananchi watoana ngeu

    Haya kumekucha sasa siajibu mapigo kwa matusi yeye c huwa anajinadi kuwa fundi wa matusi...
  4. B

    Haya ndio maisha ya Ngassa Bondeni

    Kachelewa saaana huyu jamaa ubongo umemdumaza...
  5. B

    Kupitia Video ya nyimbo mpya ya Davido, Diamond una cha kujifunza

    Safari ni hatua lazima kuwe na moja ndo mbili ifuatie...so kwa wasanii wa nyumbani nao ndo wanaelekea huko, mfano AY...alishafanya na mjamaica so hatuko pabaya....
  6. B

    Hawa Ghasia-kitu usichokijua ni sawa na usiku wa giza

    Katika mawaziri mizigo kikwete aliokuwa nao ni huyu mama! Weredi wa mama huyu ni mdogo sana sana sijui shuleni ilikuwaje..! Yaani huwa hana hoja ya kitaaluma hata siku moja pale anapojibu hoja...
  7. B

    CCM wanapenda namba lakini hawajui hesabu

    Uchambuz mzuri! Japo kwenye exchange kuna shida but kwa wajuzi wa hesabu tumeelewa.
  8. B

    Hivi Ali Kiba alistahili kuchukua tuzo 5 za KTMA?

    Hawa basata wanapanga hizi category kishabiki, kwenye category kama hii hata huyo kiba hakustaili kuwepo, watunzi wa nyimbo wapo wengi sana wengine c hata wanamuziki, wao utunzi ndo kipawa chao.
  9. B

    Binti wa kiarabu alewa na kumwaga radhi

    Hajawafikia hata wairaki kondoa hapo..
  10. B

    Star tv jicho la habari - na mgeni mchambuzi simalenga

    Sina tatizo na mpendu bt watu kuwaalika kama simalenga, wigo wao c mpna wa uelewa kuweza kudadavua vitu..kipindi safi bt waalikwa ni muhimu wawe wenye huelewa wakutosha wa mambo
  11. B

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ivi ni kwa nn pale unapinunua salio kwa mpesa unaporusia kwa mara ya pili kununua ndani ya masaa 24 inakataa kufanya huo muamala wa pili?
  12. B

    Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Unampa cheo cha Senior kwa sababu ya Kile kichwa Kirefu au? Teh teh teh teh
  13. B

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Kumbe sababu unayo, so unataka tujadili nn sasa hapa?...
  14. B

    Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Yericko remember u is senior enough humu ndani please ebu futa aibu hii hata kimya kimya tu c mbaya..
  15. B

    Mfahamu Mtanzania alieandika kitabu kinachotumika Vyuo vikuu USA

    Inchi hii inawanazuoni mahili sana ughaibuni huko, wanadhindwa kuja nchini kwao kuleta tija kutokana na mifumo kandamizi inayowaweka wanazuoni pembeni na wanasiasa hata wasio na darasa moja kuonekana wanamaana sana! Kwa mfumo huu ni ngumu sana kuwa recognise wasomi kama hao katka inchi yetu..
  16. B

    CRDB Kuanza kutoza makato mapya

    #KakaJambazi naamini atarudi kwa ufafanuzi zaidi...
  17. B

    Muhongo/maswi wote wanachunguzwa iweje asimamishwe maswi pekee mnaelekea wapi??

    Naona mh kasoma upepo wa jna kagundua makosa yake....haya sasa ngoja nione atamalizaje mpira huu katka dk za nyongeza.
  18. B

    Kabla hujakimbilia kununua smartphone za Tigo, soma hapa ili usije kulia baadae!

    Kwa hizo za line mbili my be ukiflashi zinakufa bt me nimtumiaji wa mda wa Huawei y530 from tiGO na nimeflash nakuweka laini ingine bt mambo yanaenda..
  19. B

    Ubora wa binadamu wenye miguu yenye uvungu

    Nilipata sikia wajuz wa jeshini huko wakidai uvungu huwa unaleta hewa katika buti, hvyo kufanya mguu uweze kupumua vizuri, bt kwa mtu asiye na uvungu mguu waweza haribika kwa kukosa hewa ilihali buti kwao yakaa mda mrefu zaidi ya siku moja...
Back
Top Bottom