Search results

  1. Chinese boy

    Hatuwezi fungua Hi5,Youtube,twitter,na sasa facebook

    Mimi Chinese boy sometimes nafurahia kuishi kwa hawa jamaa lakini sometimes ni noma.Yaani Hi5 ni zaidi ya mwaka hatuwezi ipata hapa,youtube karibu mwaka...Ilipo banwa Hi5,watu wote wakajikita katika facebook lakini zile vurugu za hivi karibuni zimefanya nayo ifungiwe.Yaani classmate wangu wa...
  2. Chinese boy

    Mchina Aoa Mrembo wa Ethiopia

    Nchini kwao pia unaweza zaa watoto wawili kama baba na mama wote wametoka familia za kichina zenye mtoto mmoja.Pia wale wa makabila madogo wanaruhusiwa kuzaa wawili.Pia kama una pesa ya kutosha ukikutwa umezaa wa pili unaweza pewa adhabu ya kulipa pesa fulani then inakuwa imetoka.Kwa kijijini...
  3. Chinese boy

    Mchina Aoa Mrembo wa Ethiopia

    Januari Tarehe 21,2009 Kulikuwa na Shamra Shamra za Kusisimua pale sehemu moja ya jiji la Wuhan Pale ambapo wachina wameshuhudia moja ya matukio machache sana ambapo kijana wao amejitosa na kuopoa mrembo wa Ki Ethiopia.Huyu Jamaa amekutana na binti akiwa kule Ethiopia katika huduma ya...
  4. Chinese boy

    Ni Hao! Habari Wana JF!

    Angalia Mziwanda usije ishia kusema feki,Ukaachwa na Dunia,haha! Mimi nipo serious bwana!!!
  5. Chinese boy

    Ni Hao! Habari Wana JF!

    Ukitaka kujua ni Yo Yo Si mpe akusomee hivyo Vibox haha!
  6. Chinese boy

    Ni Hao! Habari Wana JF!

    谢谢!xiexie!-Asante! Kumbe kuna Chinese boys/girls wengine,Nashukuru Triplets kwa kunikaribisha.Nitajitahidi leta yale machache niliyo na uzoefu nayo na akina Triplets watanisaidia katika hili!haha! Kwa wasiojua Jambo Forum是最棒哦-JF shi zui bang oo-JF...
  7. Chinese boy

    Vipi kuhusu simu za aina hii Bongo?

    Haha! If they need Those with "unique international identification code" These friends will make for them and hope at same prices or they will just be required to add little money!!!But the should straight talk to the factory and not just get into Guangzhou/Shenzhen and collect whatever they...
  8. Chinese boy

    je? hii ni sawa kiafrika?

    Haha!Sijui kwa Kiafrika kwa sasa,Ila sasa China ndo kawaida kabisa,Na Binti asiposhikwa mkono na Boyfriend wake njiani yaweza kuwa ugonvi...na mabusu wala hakuna shida watu wala hata hawaangalii maana ni kawaida.Na wachina pia miaka kadhaa iliyopita hii kitu haikuwepo na vyuoni ilikuwa ni sheria...
  9. Chinese boy

    Ni Hao! Habari Wana JF!

    Unatakiwa malizia sentensi..Wo ai ni/ta/Juma/etc ili ijulikane una ye mu "ai" ni nani haha!Nashukuru sana kwa ukaribisho!!!
  10. Chinese boy

    Ni Hao! Habari Wana JF!

    Nimejaribu Pita Pita katika JF nakuipenda na ni matumaini yangu kuwa Wana JF Mtanilea vizuri! 你好!Nihao! -Habari! 我 wo-mimi 你 ni-Wewe 他/她 ta-yeye 他们 tamen-wao 爸爸 baba-baba 妈&#22920...
Back
Top Bottom