Search results

  1. F

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    hawa wana siasa wanatuzingua bure hawana nyimbo wa malimba
  2. F

    Huu ni uzalendo au unyama?

    Ndugu wana Jamii forum. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwaeleza kwa uchache tu ufisaadi mwingine uliojitokeza hivi karibuni baada ya muheshimiwa DR Sheni kuchaguliwa kuwa rais wa Zanzibar na kufanya ziara rasmi ya kiserkali nchini Ungereza. Muheshimiwa huyo kwa mujibu wa nusa nusa yangu...
  3. F

    Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    Ndugu yangu Bw Sanga, viongozi wetu ni wanafiki ajabu sijapata kuona katika dunia hii. kwa upande wa tanganyika mtu wa kulaumiwa(laana tu llah)ni mchonga meno J.K, Nyerere. Huyo alikuwa na lengo la kuimeza Znzibar kiujanja ujanja lakini wazanzibar walimshitukiya mapema. Sasa wakati umefika wa...
  4. F

    Katiba mpya izingatie mipaka ya mamlaka ya rais na umiliki wa mali

    Ukimuondo baba na muasisi wa Taifa hili la Tanzazania ambaye amekufa akiwa masikini viongozi wengine waliomfuata hawako hivyo. Ni matajiri wa kupindukia na haieleweki ni jinsi gani wamekuwa matajiri kiasi hicho na ilihali hawakuwa ni wafanyi biashara katika muda wao wote wa utumishi. Mzee...
  5. F

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Mwenge ni ishara ya mshikamano wa udugu wa kitaifa wacha watu wepete tu kama wewe huoni faidayake basi poa
  6. F

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Nimeisoma vizuri na kwa makini kabisa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na nimeielewa vyema ipasavyo. Hakika hii si katiba inayowafaa wananchi wa Tanzania katika karne hii ya 21. Ina mambo mengi ya upotofu na udanganyifu wa hali ya juu na kwa hivyo inapaswa kurekebishwa kama si kutungwa...
  7. F

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Shukrani mwana kijiji hakika umeonyesha kukomaa kibusara
  8. F

    Watoto wa mafisadi watoa tamko la kukilaani chama cha ukombozi wa tanzania chadema

    wana JF maoni yangu kwa siku ya leo kuhusu maada hii WATOTO WA MAFISADI ni kwamba, imepitwa na wakati na huu si wakati muafaka kwa watu wazima na akili zao timamu kuaza kuzungumzia unafiki kama huu. Mara utasikia mwana JF huu asima hivi na yule naye asema vile ilmradi kila mtu aonekane anjua...
  9. F

    Lowassa azungumzia kuanguka kwa Hosni Mubarak

    Lowasa anachotaka kufanya ni kuwhadaa wananchi na haswa vijana waliozaliwa miaka ya 1990 ambao hawamjua vilivyo. Yeye mwenyewe ni mwizi wa mali ya umma. Yeye ni miongoni mwa watu wachache waliojilimbikizia mali hapa Bongo. kwa sabau hiyo, ndiyo maana hata hayati baba wa Taifa Mwl JK,Nyerere...
  10. F

    Uwaziri na ubunge mwisho uwe miaka kumi(10)tu

    Ndugu wana JF, ufisadi wa malizi za umma umekisiri hapa nchini ketu. Wabunge na Mawaziri wamekuwa wakijifanyia mambo kiholela na kuwaibia wa tanzania mchana kweupe. Wizi kama ule wa RICHMUD, EPA na LOLIONDO ni mifano hai ya matendo ya kifisadi iliyofanywa na viongozi wetu.Hii inatokana na wao...
  11. F

    Nani bora kati ya jk na mkapa kwa miaka mtano ya mwanzo

    Tofauti ya Kikwete na Mkapa ni kama ifuatavyo: KIELIMU (1) Mkapa MA (1) Kikwete BA DINI ZAO Mkapa Kikwete (2)...
  12. F

    Kikwete: Hata Nyerere alishindwa ingawa tunamsifu sana

    Jamani wana JF, Mimi si mtetei Kikwete, lakini ukweli ni bora ukasemwa.Ni kweli kabisa nchi yetu inamatatizo mengi ya kiuchumi yanayosababishwa na udhaifu wa viongozi wetu wa juu.Kuanzia Rais hadi wakuu wa wilaya. Lakikni msikimbilie kumshambulia Kikwete peke yake mkasahau kuwa hata hao...
  13. F

    Serkali ya ccm ijifunze kutokana na matukiyo ya kisiasa nchin misri

    Umma una nguvu, naukiamua kutenda jambo lolote lilie basi unaweza. si nguvu za kifaru wala kima zinauwezo wa kuuzuwia umma kufanya upendavyo. Ule wenu viongozi wa asiasa nchini Bongo mnaopenda kung'ang'ania madaraka na kufanya ufisaadi wa kuwaibia wnanchi, amini nawaambieni ipo siku wa Tanzania...
  14. F

    Udin na ukabila kuisambaratisha jamii ya wa tanzania

    Ndugu wana JF, mimi sipo hapo nyumbani kwa karibu miaka kumi sasa, na matukio mengi yamefanyika bila ya mimi mwenyewe kuyashuhudia. Hatahivyo, hivi karibuni nimekuwa nafuatilia malumbano ya Masheikh wa Bakwata chini ya uongozi wa sheikh Ali Baswalehe na Viongozi wa Kanisa kule mkoani Arusha...
  15. F

    Sheikh Basalleh wa Radio Kheri Ni Mchochezi

    Sheikh Basalehe ni kiongozi wa kidini mwenye hadhi kamili ya uongozi katika jamii ya waislam sawa na Pengo wa kanisa katoliki au mtikila wa kanisa li silo rasmi. kwahivyo basi anahaki ya kutoa maoni yake kama walivyoviongozi wengine wa kidini hapa nchini. Kuhusu madai ya kuwa waislaam ndiyo...
  16. F

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Nina amini kabisa kama wanafunzi wa shule hiyo ya High Sec wangekuwa robo tatu yao ni wakristo watupu basi hao wanafiki toka baraza la mitihani la taifa wasingeenda huko Visiwani kusimamia zoezi zima la kufaya mitihani, kwani wewe huwajuwi Wakatoliki ndugu yangu?
  17. F

    Pneumonia kiswahili chake

    kwa ufahamu wangu ni ugonjwa wa kupooza mwili au kifupi UNYAFUZI
  18. F

    Mambo muhimu ya kuzingatiwa kwenye KATIBA MPYA

    Mambo muhimu ya kuzingatiwa ndani ya katiba mpya iwapo itaanzishwa ni kuipa mikoa hadhi ya kujiaandalia yenyewe mipango yao ya maendeleo kwa kutumia fedha zinazokusanwa na mikoa yenyewe pasina kungojea fungu la fedha(budget) toka serkali kuu. Idadi ya vyama vya upinzania ipunguzwe hadi kufikia...
  19. F

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Siku kadha zilizopita ndugu yetu Amaridong aliuza kwa lengo la kutaka kujua kama kupiga punyeto kuna madhara. Inawezekana tayari ndugu yetu kesha athirika na kwamba anauliza katika style yas kiutuuzima ili kujua nini afanye.JE IKIWA MATHALANI ATAKUWA KESHA ATHIRIKA AWEZA KUPATA TIBA? NINI AFANYE...
  20. F

    Raila Odinga asema mashoga washikwe na kushtakiwa!!!

    Kwanza kabisa nampongeza Waziri Mkuu kwa maamuzi yake ya busara kupiga marufuku tabia ya ushoga nchini Kenya. God bless you Kenya PM. Aidha napenda kuwafahamisha ndugu zangu wa Kenya kwamba Ushoga ni kinyume na maadili ya dini zote duniani, na zaidi ya yote ni kinyume na maadili ya...
Back
Top Bottom