Search results

  1. C

    Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

    Mkuu bado unanunua Mayai kwa jumla? Nina mayai mengi ya Kuku wa kisasa
  2. C

    Mrema: Kikwete aendelee kuongoza Tanzania

    Mbatia anaujua!
  3. C

    Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Hahaaaa kwahy kumiliki ngombe 8000 ndiyo kumemletea utajiri huo wa kutisha? Wajinga ndio waliwao
  4. C

    Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Haikuti mahekalu ya Lowassa! Manake ni mengi! Kama Sitta hafai kwa kimiliki kagorofa kamoja mbweni Lowassa ni wa kikimbiza kabisa!
  5. C

    Wataalam wa ndoto naombe msaada

    Kama wewe ni mchawi, mganga wa kienyeji, mfuga majini, msoma nyota, mhirizi, na una vibwengo lazima utoe povu! Hatuchekei kima sisi! Samahani kwa kusema kweli!
  6. C

    Wataalam wa ndoto naombe msaada

    Maana yake nyota yako ameichukua yeye na anaitumia ktk shughuli zake!
  7. C

    Live Interview: Zari All White Party - Clouds Tv/Radio

    Beautiful Onyinye! This title now belongs to Zari the Boss Lady!
  8. C

    Shemeji yetu naye, mahaba hadi kwenye TV!

    Let them be! Beautiful couple!
  9. C

    Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

    Kwani huyo baba hana watoto wengine? Kwann kila kitu Diamond? Alimtupa diamond akaenda kuzaa watoto wengine aliowajali na kumsahau Diamond! Sasa analazimisha msaada! Avumilie mateso kama alivyovumilia mzazi mwenzie ya kulea mtoto peke yake!
  10. C

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Dr. Wilbroad Slaa!
  11. C

    Deni la Taifa sasa lafikia 39 trillioni

    Ni Lowassa na Rostam Aziz ndiyo waliotuponza! Nawashangaa mnaotaka awe rais!
  12. C

    Sherehe za Mei Mosi Kitaifa Jijini Mwanza tarehe 01/05/2015

    Hahahaaaaaaaa........ umenitia simanzi kubwa! Majibu ya maswali ya kwann nchi imekuwa hoi kwa kila kitu umeyapata!
  13. C

    Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

    Ukishaona damu za akina rostam inashabikia siasa ujue iko hatari kubwa mbeleni!
  14. C

    Kashfa: Nesi amchapa Mjamzito Viboko, Kitoto Chafariki

    Na mume wake achukuliwe hatua za kisheria kwa kumpiga na kumtusi mkewe (nurse) hivyo kumsababishia hasira zilizopelekea kumchapa mjamzito viboko!
  15. C

    Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais fukara

    Tabia za Msaliti na mnafiki hazijifichi! Yuda Iskatioti typical! Akibabuliwa hadharani, akina Abubakar Mizengwe Punda wanafungua kesi iso kichwa wala mguu!
  16. C

    Rais ajaye kuanzia 2015 atoke kabila dogo sio kubwa

    Well said Mdau! Rasimu ya katiba ya Warioba wameichakachua kwa uroho wa madaraka Sasa wanakuja na ngonjera za kuchagua Rais kwa kuangalia kabila? Hivi ninyi maccm nani kawaroga? mmekuwa kama watoto wadogo walovaa pampers!
  17. C

    Rais ajaye kuanzia 2015 atoke kabila dogo sio kubwa

    Hovyo kabisa! Sijui amekula maharage ya wapi huyu!
  18. C

    Samwel Sitta aanikwa uovu wake

    Wa kuogopwa ni Lowassa manake pamoja na afya kimeo bado anang'ang'ania kwenda ikulu!
  19. C

    Samwel Sitta aanikwa uovu wake

    Usituletee gazeti lako la unafiki hapa! Si Sitta wala huyo Lowassa wako unaemsifia! Lowassa ndo hataree! Ukitaka kuelewa angalia mafisadi na wala rushwa walio nyuma ya Mamvi!
Back
Top Bottom