kosa ni kutouliza pale ulipopewa paja na mama yako..ulitakiwa baada ya kusema asante umuulize mbn jana nilikula mboga sikunyimwa??na pia jitahidi ufanye ufanyavyo urudishe uhusiano wa mkeo na mama yako km awali ukiacha mambo km yalivyo sasa am sure utarudi na stori nyingine soon kuwa...
kaka upo juu,yalozungumzwa bi kweli tupu wanajamii wenzagu,hamna kitu kizuri kama kumjua mpenzi wako na kuujua mwili wako pia kwani kwa kufanya ivo mtafikishana hata kule ambapo hamjawahi kufikishana
Asante sana maalim.
Hiii ni dahwa haswa...
Tuko pamoja.
==================
Asali na Tangawizi
==================
====================
Dawa ya kikohozi kwa kuchanganya Asali na yai la Kienyeji
Asali weka kijiko 1 na changanya na yai la kuku wa kienyeji moja kunywa asubuhi kabla ya kula...
Sometimes hawa viumbe wenzetu tukiwapa ukweli ndo inakuwa umejichongea na uhusiano unaeza usiwepo baada ya mda mfupi ila ukipiga zuga mbili tatu za kutunga na uongo mwingi yani hapo ndo umekuwa umewapatia sana unawakoleza ile mbaya...
dah hapo hasheem kuna walakin huyo mpenzi wako atakuwa ana mtu mwingine ila anashindwa kukuacha kwa sababu anajua unampenda sana kwa ana-take advantage ya hiyo situation kunufaika nawe kwa namna flani flani moyo wake upo kwa mtu mwingine...kuwa mwangalifu utakuja kuumia sana maishani mwako
Jamani huu ni uwanja wa mawazo na kusaidiana,tangu mwanzo watu hawatoi solution ya tatizo zaidi ya kuleta mzaha...mm kwa mawazo yangu naona huyu mwanamama akae na mzee wake amwambie kinachomsibu na wajaribu kuangalia kamasutra,wajifunze mimbinu na miujanja ya kuduu.....
jamani mimi naamini shule aliyotoa chimunguru inatosha kabisa,ukiipuuzia unamegewa sasa hivi maanake huyo mwenzi wako inaonyesha ashaonja raha ya kurambwa hapo awali sasa amemiss....mpe haki yake....KUMBUKA MAPENZI NI UCHAFU
waswahili bana,ivi we bata ni lazima kusoma thread za mapenzi?kama kwako suala hili sio muhimu basi soma thread nyingine mbona zipo nyingi tu haya ya huku tuachie wenyewe.....mimi nafikiri si bure huyu jamaa kuna kitu anataka toka kwa mtoa mada wetu labda aulizwe hii ni dunia ya ukweli na...
kaka mimi nakushauri achana na huyo msichana atakuumiza sana sababu haoneshi mapenzi ya kweli,hajali feelingz zako kwa maana ya mapenzi uliyonayo kwake....kama x wake alimtenda kwa nini adhabu uipate wewe?....ni mtazamo wangu tu,uamuzi unao wewe
mtoe out sehemu moja nzuri sana weka mazingira ya kimahaba zaidi,then katika maongezi yenu tafuta right moment anza kwa kumuomba msamaha then eleza kilicho akilini mwako,mwambie ni ibilisi tu alikushawishi lakini yeye ndo mapigo ya moyo wako.....usiogope mpwa wanawake ni viumbe wepesi wa...
huyo jamaa hana lolote anatengeneza mazingira ya kula nje na vile vile mazingira ya kula jicho,inaonekana kashakutana na kichangu mtaani kampatia ile kitu ya sodoma
dah mzee hapo kuna walakini,eti "WENZAKO HAWAFANYI KWA NGUVU"....tunaambiwa usimchunguze bata lakini huyu ni wife mtu wa karibu anaweza akakuletea maradhi...take care mazee fanya uchunguzi kabla ya ku-conclude
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.