Search results

  1. Babu Anganga

    Inakuwaje graduates wa UDOM wanafaulu sana sahili za Utumishi?

    Kwa taarifa yako, Jina hili ni miongoni mwa chachu zilizoifanya UDOM ipae. Labda kwa faida yako mkuu; ukimpa mtu jina la kebehi linasababisha ajitathmini na hatimaye afanye maboresho makubwa kwenye nyanja tofauti mwishowe anakuwa mtu bora kwenye jamii.
  2. Babu Anganga

    Uchawi upo,nimeonana na kitu nyumbani kwangu asubuhi hii

    Mimi naomba tuanze na hiyo hoja ya nyoka kuketi kwenye sofa, uliyaona makalio yake kabisa au aliketije? Hilo la kutabasamu nitahoji baadae kidogo.
  3. Babu Anganga

    Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Hata tukiwapeleka watoto, wao wakibaki home kubanduliwa kupo palepale maana ni tabia binafsi ya mhusika. Watabanduliwa home hapo hapo. Bora wabanduliwe huko huko nje.
  4. Babu Anganga

    Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

    Dr. Alex Khalidi (RIP) alikuwa Mbunge wa Mitema Newala (siyo Mtama), ndiye alikuwa mmiliki wa Makondeko hapo Luguruni Dsm. Kimsingi yeye ndiye alimleta Yvonne Chakachaka hapa Tanzania mwaka 1988 lakini mwanamuziki huyo hakufanya show Makondeko bali alifanya show 3, ya kwanza alifanya Kilimanjaro...
  5. Babu Anganga

    Tabia za mwanamke wa kuoa (wife material)

    Mkuu hakuna muendelezo, ndio umeishia hapo?
  6. Babu Anganga

    Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

    Ukiipata hii album please tuwasiliane. Kuna wimbo mwingine unaimbwa "Waumini, tujiandae kwa ujio wa Papa wetu"
  7. Babu Anganga

    Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

    Hiyo album yenye nyimbo kama vile Utukufu na ukuu, Wewe ndiwe Petro, Bwana Mfalme ameketi milele, Nimemkuta Daudi, n.k. ninayo. Naitafuta ile nyingine yenye nyimbo za Tumpokee Kiongozi wetu na mchungaji wetu mwema, Tumpokee kwa shangwe, n.k.
  8. Babu Anganga

    Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

    Niliwahi kuishi Mahenge Mkoani Morogoro, nako si haba kwa baridi. Tena ni ya mwaka nzima haina msimu.
  9. Babu Anganga

    Tetesi: Mwaka wa 4 watumishi wa umma bila nyongeza ya mshahara

    Hivi kumbe Utumishi wa umma ni ualimu tu? Au mtoa mada sijakuelewa vizuri? Mbona kuna kada nyingi sana nchi hii zinazohusiana na utumishi wa umma au hauelewi maana ya utumishi wa umma? Nakushauri badilisha title ya post yako kwa kuwa inawahusu Walimu tu ijapokuwa watumishi wa umma wote hakuna...
  10. Babu Anganga

    Kisa cha bikira wa mobutu

    We Likud story zako sijui wazitoa wapi? Mhhhhhh!
  11. Babu Anganga

    Hello.....

    Kila la kheri Brother 1
  12. Babu Anganga

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ameeen! Na kwako pia.
  13. Babu Anganga

    BLACK SEED OIL or HABAT SODA OIL

    Asante kwa taarifa
  14. Babu Anganga

    Rais Magufuli: Watanzania kuamini kila kitu cha kwenye mtandao ni kutokana na sisi kutoi-control mitandao

    Moderators nashauri tuongezewe na option ya DISLIKE pia. Maana kuna topic nyingine ni chenga kabisa.
  15. Babu Anganga

    Mmakonde kajichora tatoo!

    [emoji115][emoji115][emoji115]Chase = chale (Poleni kwa usumbufu)
  16. Babu Anganga

    Mmakonde kajichora tatoo!

    Utamaduni wa kujichora usoni ulianza zama za biashara ya Utumwa, wale wanunuzi wa Watumwa walikuwa hawanunui watu wenye michoro (chase) usoni hivyo Wamakonde wakabuni hiyo style ya kujichora usoni ili wasinunuliwe. Biashara ya Utumwa ilipokomeshwa, uchoraji huo ambao unatumia kitu Chenye ncha...
  17. Babu Anganga

    Mmakonde kajichora tatoo!

    Yap! Ni Wamawiya ijapokuwa hili jina la Umawiya linatumika kule Msumbiji ila wakivuka Mto Ruvuma na kuingia Tanzania wanakuwa Wamakonde. Ni sawa na Wamakua, kule Msumbiji wanaitwa Wameto ila wakivuka kuja huku Tanzania wanaitwa Wamakua. Na ndio maana Tanzania katika orodha ya makabila hautaweza...
  18. Babu Anganga

    Mmakonde kajichora tatoo!

    Mshana amejichora we tazama vizuri sura yake utaona mistari ina rangi nyeusi achilia mbali hicho ulichoita kipini ijapokuwa ni NDONYA.
  19. Babu Anganga

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ukiupata naomba nitag tafadhali
Back
Top Bottom