Search results

  1. R

    Mishahara ya madaktari wetu; wanastahili nini?

    Kama wanadai nchi ni maskini, sasa kwa nini umaskini usiwe kwa wote?!!!!!!! Inasikitisha sana tena sana
  2. R

    Black and White - Hukumu ya Nguza Vicking (BABU SEA) na Wanawe

    Naona mkuu hapo juu hujanielew kidogo, japo umesoma sentensi mpaka mwisho. Nimesema nafikiri nitakuwa mtanzania wa kwanza kusomea forensic na kurudi nyumbani kusaidia watu katika kesi za jinai. Ushahidi uliotolewa na daktari unaonyesha watoto waliingiliwa, swala zima hapo ni proof ya...
  3. R

    Black and White - Hukumu ya Nguza Vicking (BABU SEA) na Wanawe

    Kwa kawaida sperms zinaweza kukaa hai kwa zaidi ya siku mbili, na hii ingewezesha scientific proof kupatika kwa at least some of the kids, then ushahidi wa watoto ungekuwa nyongeza. Gashle nakubaliana na wewe kuwa mfumo wetu wa sheria hauko sawa una mapungufu mengi na ndio maana ni rahisi watu...
  4. R

    Black and White - Hukumu ya Nguza Vicking (BABU SEA) na Wanawe

    Inabidi Tanzania tupate wataalam wa forensic, labda itasaidia kuondoa doubts na itasaidia kupunguza convictions kwa wasiostahili. Na nafikiri pia tunahitaji jury system, maana haya maamuzi ya mtu mmoja ni rahisi sana kuwa influenced. Bado nina amini kuwa hii kesi na nyingine nyingi haziwi proven...
  5. R

    Guilty until proven innocent

    Kwenye nchi za wenzetu, it is true that a person is innocent until proven guilty, kwenye nchi zetu it is the opposite. Ni lini tutafika? Kwa nchi kama marekani mtu hawezi kukamatwa akawekwa ndani mpaka wawe na ushahidi wote, kwetu wakikuhisi tu ndani, ukipelekwa mahakamani kila siku ushahidi...
  6. R

    Black and White - Hukumu ya Nguza Vicking (BABU SEA) na Wanawe

    Nimeisoma kwa makini hii hukumu lakini bado najiuliza: hivi katika watoto wote hao 10 hakuna hata mmoja aliyepatiakana na shahawa zikapimwa hospitali na zikalinganishwa na za wastakiwa? Pamoja na kwamba walikuwa wanaoshwa kama walivyodai lazima kuna vijishahawa vingebaki. Kuna ushahidi wa mlezi...
Back
Top Bottom