Search results

  1. eRRy

    Wote tunaowapenda wake zetu tukutane hapa

    Rudi baada ya miaka 5 utupe mrejesho!
  2. eRRy

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nakumbuka niko zangu home, demu ananitext,”mambo” nikajibu “Poa!” Baada ya hapo text zikawa nyingi, mara “ I am hungry “! Nikaagiza chakula si huyooooo akaja kuchukuwa, baadaye akaamuwa kulia chakula hicho kwangu, huku tukiendelea kupiga story, Baadaye akauliza kama nina wine, bahati nzuri huwa...
  3. eRRy

    Ufaransa yatangaza kuwaondoa Balozi na Wanajeshi wake kutoka Niger

    Safi sana, France must exit from the whole African continent. They have looted enough
  4. eRRy

    Rais wa Madagascar ajiuzulu kuelekea kwenye uchaguzi wa Novemba 2023

    Mlitaka Dunia nzima ielekee Madagascar vadala ya kuwalilia Big Pharma? Ndiyo maana tunadharau dawa zetu ba kukumbatia dawa za kigeni wakati hata wao hutumia mizizi, majani ba magone ya miti kutengenezea dawa hizo. Lolz
  5. eRRy

    Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

    Mwanzo 1:1 “ Siku ya kwanza!”
  6. eRRy

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    2007 Bongo- Nairobi-London-New York-Dallas-Nebraska one way. hadi nilichoka mwenyewe! Duh
  7. eRRy

    TANZIA Mwanasiasa na Meya wa zamani wa jiji la Cincinnati, Ohio, Jerry Springer afariki Dunia

    Mwana siasa na Meya wa zamani wa jiji la Cincinnati, Ohio Gerald Norman Springer aliyejizolea umaarufu kupitia kipindi chake cha Jerry Springer, amefariki dunia. Jerry Springer ni mwenyeji wa televisheni maarufu wa Marekani na mwanasiasa wa zamani ambaye alizaliwa mnamo Februari 13, 1944...
  8. eRRy

    Burundi yathibitisha kumkamata aliyekuwa Waziri Mkuu wake

    Jamaa anashutumiwa kuwa fisadi na kutaka kumpindua Mzee.
  9. eRRy

    Una jambo ambalo hutolisahau kwenye kufanya mapenzi?

    Ni miaka 13 sasa, alikiwa girlfriend enzi hizo. Nikawa nagonga huku nimevaa ndomu.(maana tulikuwa tunafanyia kwake, na ndomu natupa kwenye dustbin) siku moja nikamkuta ananyonya sperms kwa kutumia syringe, nikashtuka. Kumuuliza akadai yeye anahitaji mtoto wakati mimi sikuwa hata na wazo...
  10. eRRy

    Share your current internet Speed

    Wi-Fi nyumbani. Cox communications
  11. eRRy

    Mwanamke wa Burundi ajifungua watoto sita

    Johari Mugisha, amejifungua watoto sita nchini Burundi leo baada ya kufanyiwa upasuaji(c-section). Watatu wa kiume na watatu wa kike. Wote mama na watoto wanaendelea vizuri. Ijumaa iliyopita Waziri Mkuu wa Burundi Gervais Ndirakobuca alimtembelea Johari na kumkabidhi millioni tano(5,000,000.00...
  12. eRRy

    Tetesi za Mapinduzi zaikumba tena Burundi

    Imetimia: waziri Mkuu wa Burundi General Alain Guillaume Bunyoni aondolewa! [emoji1060]
  13. eRRy

    Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

    Mi naona kuwa Mungu alitaka kum test Adam aone Akili zake zinafika wapi. Maana haiwezekani awaumbe wanyama wote jike na dume, kisha amuumbe Adamu bila mwenza, wakati mpango ulikuwa viumbe vyote wazaliane( miti, wanyama, samaki, wanadamu). [emoji848]Kuna fumbo hapo
  14. eRRy

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Point of correction: Mungu hakuumba mbingu na nchi kwa siku sita. Ukisoma Kitabu ca Mwanzo 1:1 “Hapo mwanzo Mungu aliiziumba Mbingu na nchi…” hapo MWANZO( ni kabla ya Uumbaji kuanza Duniani). Siku sita zilikuwa za Uumbaji kwenye sayari ya Dunia. Inaonekana Uumbaji wa Mbingu na sayari zote...
  15. eRRy

    Msaada wa kuacha punyeto

    Kuacha ni maamuzi yako binafsi Chukuwa hatua: Acha kuangalia muvi za ngono na epuka mazingira yanayokuvutia kwenye upigaji punyeto Sali sana
  16. eRRy

    I seek guidance please: Is Jesus 100% God or 100% Man?

    100% God (John 1:1-)
Back
Top Bottom