Search results

  1. Josh Michael

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Sasa Mungu anazungumza na watumishi na wengine ambao walisema EL atapita watumishi hawa ni aibu sana
  2. Josh Michael

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Kweli Askofu Kakobe ni naibii wa kweli Hongera sana kwa kutabiri askofu Kakobe
  3. Josh Michael

    Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

    Still loading sana maana kuna wakati mwingine mijadala itapanda sana na kuwa moto sana ni kawaida kipindi kama hiki cha kuelekea uchaguzi
  4. Josh Michael

    Mahakama ya Kadhi: Tanzania inaanza kuvuna matunda ya kuikataa historia ya kweli

    Ukisoma vizuri hii habari utaona ina ukweli mwingi katika waislamu kudai mahakama ya kadhi hivyo kama serikali imewahidi basi iwape
  5. Josh Michael

    Waliopokea Pesa za Escrow ni Wezi kama Wezi Wengine wa Kuku na Mbuzi Warudishe Haraka Sana!!

    Umesema ukweli katik watu wote mama Tibajuka ndio ametia aibu sana na kujisifia kote kumbe mkono wake michafu
  6. Josh Michael

    Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

    Hongera sana Kaka Zitto hizo ni kelele ila ukweli unabaki umesimama Imara sana katika kipindi chote kaka na pia Sisi Watanzania tumeona kuwa umekuwa imara ziku zote
  7. Josh Michael

    Ni Aibu kuwa na Waziri kama Membe Wizara ya Mambo ya Nje

    Yeye tayari amepata laana na kamwe hawezi kushinda urais wa Tanzania hata waseme nini Mungu analitazama Israel kwa jicho la tofauti sana hivyo ni bora Membe angekuwa kimnya kabisa
  8. Josh Michael

    Swali la Ugomvi: CCM Inaweza Kutoa Mtu Anayeweza Kumzidi Kikwete?

    Huyu JK alianza mapema sana harakati zake za urais hivyo mimi nashangaa kuona kwanini CCM inawakatalia makada wake kujitangaza mapema pia vipindi na nyakati za kisiasa zimebadilika sana kupita kiasi hivyo ni ngumu sana kwa nyakati hizi kumpata au vyombo vya habari kupata na kumpamba mtu kama...
  9. Josh Michael

    Yaliyojiri Mkutano wa Dr. Slaa na waandishi wa Habari - Makao Makuu CHADEMA

    Haya madudu bado sana Tanzania ila Hongera sana kwa hili Dr Slaa
  10. Josh Michael

    Sababu Kubwa 2 za Kuukataa Mchakato huu wa Katiba Mpya

    Kweli Kabisa CCM wamedakia na pengine kupora mchakato wa katiba ila na pengine kudai tena mchakato uanze upya kuliko hivi ilivyo sasa
  11. Josh Michael

    Kenya Airways wamenunua Dreamliner sita, sisi tunakodi ka ndege ka kwenda mikoani kwa mbwembwe...

    Kuna kitu kinaitwa leasing on airplane kama wanataka serikali wanaweza kukopa hata miaka 30 hivi na kuwekeza kwenye ndege ila kwa kuwa serikali haina priority kwenye usafirishaji wa anga basi ngoja tubaki hivi hivi
  12. Josh Michael

    Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    Umesema ukweli kwa kiasi fulani na watu wengi sana huwa wanakuwa mashabiki ikilinganishwa na CHADEMA basi CCM kweli inalea vijana wake vizuri CHADEMA wanakufukuza mara moja ni kweli kabisa
  13. Josh Michael

    Jews ndio Waanzilishi wa Social Network Zote.Je Watanzania Wasomi Wa Computer mnaweza

    Kuna haja ya Watanzania kwenda kujifunza huko Israel na hata kilimo hasa sehemu za jangwa kama wamefikia hata kulima na kuzalisha nyanya na kulisha dunia kuna haja ya kwenda kujifuna huko
  14. Josh Michael

    Nawaomba radhi niliowakwaza, CHADEMA ni chama sahihi kwa Watanzania

    Hongera sana kwa kuona hayo madudu na kuona chama sahihi ni CHADEMA
  15. Josh Michael

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Hongera sana sasa huoni unakwenda kinyume na viongozi wako wa juu wa chama
  16. Josh Michael

    Ushoga na Udini: Mwigulu achafua upepo Bungeni!

    Kweli kazi sana katika Tanzania
  17. Josh Michael

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Kikwete hana cha kufanya zaidi ya kutubu na kufanya kwa makini sana na kusikiliza ujumbe wa Askofu Kakobe
  18. Josh Michael

    Tatizo la Tanganyika na Uharamu wa Katiba Mpya - Insha

    Mzee mwanakijiji kama wakifanikiwa kuvuka salama kwenye suala hili la Muungano basi ndio kigezo chao kikubwa ila kimsingi tunataka serikali3 na Tanganyika yetu
  19. Josh Michael

    Bunge la Katiba Haliko Kwa Ajili ya Kuboresha Rasimu ya Kina Warioba!

    Kitu kikubwa inakiona kuwa ni lazima kutakuwa na kubadilishwa kwa vipengele kibao hasa madaraka ya rais na muungano hivyo wengi watajiuliza mengi kwa CCm
  20. Josh Michael

    CHADEMA imepoteza thamani kwa watanzania

    Kila muda ukiwa unakwenda tutajua ukweli ila lazima chadema wajitazame kabisa
Back
Top Bottom