Search results

  1. J

    ITV mshaanza kuiiga TBC?

    Kituo cha i.t.v ktk taarifa za habari wana mtindo wa ku pitisha maneno ya habari zilizomo, usiku huu nimeshangaa habari ya kuhusu kesi ya lema na mulongo imeyeyukia hewani bila kurushwa. .sitaki kuamini i.t.v nao wanatumikia serikali na ccm kama tbc. Ila nina imani kuna mtu kapigiwa simu akipewa...
  2. J

    Tumbo langu lina gesi

    Angalia serikali isije ikajua watakuletea wawekezaji wa kizungu au wakichina
  3. J

    Bcom in finance UDOM

    Nimechaguliwa hii programe ila cjui chochote na prospectus ya udom inazingua. Naomba ufafanuzi kuhusu bcom in finance course gani ziko ndani yake, soko la udom kwenye hii programe na ukimaliza unaweza fanya kazi gani. Ahsante.
  4. J

    Laptop ni muhimu kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza??

    Nunua flash uwe unagongea pc kama huna uwezo wa kununua. .
  5. J

    Laptop ni muhimu kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza??

    Kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza anae chukua bcom in finance ni muhimu awe na laptop??
  6. J

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya vyama vya upinzani ya Sept 21, 2013

    Mbinu za ccm kuwaogopesha wananchi wa dsm wasijitokeze.
  7. J

    Bcom of finance ya udom vs accountant vyuo vya biashara

    Eti wakuu . .kati ya hizi mbili bcom of finance ya udom na a/c ya vyuo vingine vya bussines. Kip bora
  8. J

    Bcom of accountant <udom> VS accountant <ifm/cbe/tia>

    Eti wakuu . .kati ya hizi mbili bcom of a/c ya udom na a/c ya vyuo vingine vya bussines. Kip bora
  9. J

    Ujio wako Mh. Waziri Mkuu hapa Karatu

    mbumbumbu wa siasa wewe. . .dr.slaa mbunge wa wapi? Kama hujui jambo kaa kimya
  10. J

    Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

    Bro ritz Watoto wa mwalimu nyerere na bibi yetu vipi MKILA NATIONAL CAKE mnawagawia ? ? ? Na nyie wana jamvi je . .? Baba kama nyerere na baba kama kikwete yupi bora?
  11. J

    Miji kumi hatari Duniani 2013

    Makao makuu ya chama . .Lumumba dar . . .hatari kabisa pale.
  12. J

    Jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u

    tcu nili aply nimepangiwa kusoma i.t muccobs na bodi ya mikopo nilituma maombi tayari. . .
  13. J

    Jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u

    Tcu deadline imepita alafu kwenye vyuo walivyoeka watu wafanye transfer ni aidha chuo kibaya au kozi mbaya infact nataka kusomea dar kwani mkoani nkikosa loan cjui itakuaje. .n what if cna ile point 0.5 ya gs tunaweza negotiate?
  14. J

    Jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u

    Naomba msaada wa jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u kwani kwenye slots vyuo vingi vizuri havipo na kuhusu mkopo itakuaje?
  15. J

    CHADEMA,dhambi hii itawatafuna katika uhai wenu,mwanaisasa huyu amewakosea nini?

    mbona uko kama mwanamke wewe. .habari za chadema zinakuhusu nini. . .watanzania shuhudieni akili za uvccm hawa za kujadili upinzani badala ya kushughulika na wananchi
  16. J

    CHADEMA,dhambi hii itawatafuna katika uhai wenu,mwanaisasa huyu amewakosea nini?

    Mtela. .ckujui ila unaonekana ni mtu mmoja -------- sana. .kumbe tatizo lako ni minara eh. . .
  17. J

    Kauli ya Jussa na umoja wa vijana wa kitaifa Zanzibar kuhusu padre Mwang'amba kumwagiwa tindikali

    Mapadre , watalii kumwagiwa Tindikali zanzibar sasa imekua ni jambo la kawaida hata serikali sasa NAONA IMECHOKA (quote pinda) na inaacha watu WAMWAGIWE TINDIKALI TU. Jeshi letu la polisi sasa imekua ni chombo cha kukusanya kodi a.k.a rushwa na hakuna kingine wanachokijua, kumkamata muhalifu...
  18. J

    Alikotokea Mr II: Enzi Hizo na Sasa

    unamjua sonko wewe ? , unamjua jaji mkuu mtunga , wanaovaa hereni na cheni . .uhuni wa sugu bado cjauona bwana hammy d
  19. J

    CHADEMA NCCR bado tuna plan B.

    i hope so
Back
Top Bottom