Search results

  1. agristeph

    Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Nafuga chotara Sasso 4,000 Nikusaidie taarifa kuhusu chotara; Ratio ya majogoo kwa mitetea ni 60-40 ukibahatika, ila mara nyingi ni 65-35 (mitetea wakiwa wachache). Mortality kwenye hao 100 weka 30. Endapo hao 70 ratio ya majogoo itaendelea kubaki hivyo hivyo basi una mitetea 28-30 tu Utauza...
  2. agristeph

    Makundi Vs Mafanikio (Jifunze)

    Idadi ya motivation speakers inaongezeka maradufu! Kweli kila mtu anajua "kitu" Tanzania.
  3. agristeph

    Mabasi yenye TV sehemu ya dereva ni chanzo kikuu cha ajali

    Hako kascreen kanaserve purpose ya "monitor" sio kwa ajili ya kuchekia movie au kutumika kwa lengo kuu kama hizo zingine Kwa hiyo wewe unapendekeza hiyo monitor ikae wapi? Kwenye buti au nje karibu na mlango wa tanki la mafuta?
  4. agristeph

    Tahadhari unapopeleka simu kwa fundi

    Unapigaje "camera" na mimi nijaribu kwenye hii yangu hapa?
  5. agristeph

    MSc Epidemiology and Applied Biostatistics VS Masters in Official Statistics

    650,000/= mshahara! Bado makato Huo muda tafuta kitu kingine cha kufanya
  6. agristeph

    Wema amempongeza Kim Kardashian kwa kutumia Lipstic yake

    Wema Sepetu is a movie character that doesn't exist in real life!
  7. agristeph

    Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Makamba is too smart to work with the current crop of people including his top boss! I'd say he's a misfit in this system.
  8. agristeph

    Una maoni gani kuhusu msanii huyu Young dee?

    Mwambie tunamsubiri afikie stage ya kama wenzake halafu tutajikusanya,tutasononeka na kujichanga aende Rehab..huku tukisikitika sana kwa sababu tunajua sio yeye ni shetani tu kampitia!
  9. agristeph

    PRIDE Tanzania: Nani yuko nyuma ya wizi huu?

    Let's spend one full year debating on whether or whether not PRIDE ni shirika la umma! Reminiscence ya ESCROW!!
  10. agristeph

    Niulize chochote kuhusu online marketing...

    Compared to other marketing strategies,how relevant is Online Marketing in relation to technological advances and awareness in Tanzania? How significant is OM?
  11. agristeph

    Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

    Tuendelee kutumia kauli za kwenye matamasha kama tool ya kupima efficiency ya viongozi.. Aisee!! Utasema nini tena,ndo basi tena akili ikishagusa ceiling.
  12. agristeph

    Siamini Kama R. Mengi ana zaidi ya 500 Million USD!

    Story za vijiweni/mtaani kwenu au kwa kinyozi?
  13. agristeph

    NAKULA UJANA WANGU DAR ES SALAAM

    Pale mbongo anapoigiza yeye ni Mkenya Pale mbongo hana pesa na ni weekend akaamua kushika simu na kuamua kulifanyia matumizi bundle lake la siku! Pale mbongo anapoachwa home alinde nyumba na yupo bored hana company,hana kitu cha kufanya,hakuna cha maana cha kuangalia katika king'amuzi basi...
  14. agristeph

    UTAFITI: Tanzania Bingwa kwa unafiki dunianii

    Utafiti uliofanywa na vijana wa Chuo Kikuu cha Nottingham Uingereza umebaini kuwa watanzania ndo watu wanafiki zaidi duniani.. ======== The British and Dutch are the most honest in the world, while people in Tanzania are the least - and it's all down to how corrupt their politicians are Dr...
  15. agristeph

    Meya asomesha bure wasichana mabikra, wanaharakati wampinga

    Mayor wa manispaa ya Uthekela hapo South Africa ameanzisha mfuko maalumu wa kuwasomesha bure wasichana mabikra.. Na ili kuendelea kupata sponsorship hiyo kila ukitoka nyumbani likizo lazima upimwe kama bikra bado ipo,kama imepotea tafuta pesa yako mwenyewe ya kujisomesha Programu hiyo...
  16. agristeph

    Umoja wa Afrika kuanzisha Pasipoti ya Afrika

    Sounds OK on papers..
  17. agristeph

    Shule binafsi acheni wizi, mnapata faida kubwa sana

    Na pia lazima uruhusu room kidogo ya kudeal na risk ya inflation maana ada haipandishwi ovyo. Mfano,hakuna uwezekano wa kupandisha ada katikati ya muhula wa masomo Inflation ikiamua kununa hapo lazima uwe ushajiandaa na contingency plan..
Back
Top Bottom