Search results

  1. M

    Rais kumzawadia mtoto pipi alikuwa na maana gani?

    Kwanza mzazi mwenye kumfundisha maadili mazuri mwanae ni kumzuia kupokea vijizawadi vidogo vidogo njiani kama pipi,jojo,soda chips, pesa nk. Sasa inakuwaje kwa kiongozi wa mkuu wa Taifa kuweka kipaumbele cha kutoa vizawadi kwa watoto tena njiani? Pamoja na hayo kiongozi badala ya kutembea na...
  2. M

    NJAA YAJA: Dear Mr. President, On a Serious Note...

    Bajameni habari ndo hiyo na lisemwalo lipo ka halipo basi li njiani. Zaidi wana JF erimisheni umma kuweka akiba kwa wakati mgumu usemwao. Mie sishangi kwa hili yawezekana unabii unatimia. Tusiwe ngedere aliye juu ya mti ikishangilia kuungua kwa msitu akali yumo humo. Zaidi ni kuwashawishi...
  3. M

    wote tusome hii.

    Na hii ndiyo mantiki ya msg hii yaani ni kasi gani taifa letu linaenda. Yuko wapi hii haituhusu shida hapa ni matukio gani yanatukia katika taifa letu.
  4. M

    Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

    Mie naona mambo ya dini na siasa yapo tangu enzi za babu zetu. Sema viongozi wetu hawa wa dini walikuwa hajahamasika katika kuiongoza jamii kutembea katika haki. Hivyo inapotokea viongozi wetu kutuhabarisha wajibu wetu kama wana jamii basi kinakuwa kizazaa. Na hii ndiyo hali halisi viongozi...
  5. M

    Mbowe katika picha Bukoba

    Ama kweli tumechoka kukaa kifungoni tunataka kuwa huru sasa. Yatosha!
  6. M

    Askofu Kilaini achemsha kwa ushauri huu!

    Kwani nini maana ya Neno KANISA! Labda mwenzenu siwapati. NIsaidie hapa.
Back
Top Bottom