Search results

  1. Chinga One

    Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

    Huwa JF haidanganyi,kuna siku watu watakuja kuufufua huu uzi,JF iheshimiwe sana.
  2. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    unajua maana ya kupela?
  3. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    unajua maana ya kupela?
  4. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Joel wengi ni wababaishaji sana
  5. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Mbona sana tu,tunaukataa uzungu ila tunaishi uzungu kwenye maisha yetu ya kila siku.
  6. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Niliwaza sana nimuite Aucho,Diara, Bacca,Gabon au Museven.
  7. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Pwagu tena? hahahaaa
  8. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    miaka ya 90 niko chalii sana hata akili hazijakomaa kuna babu yangu alikua anakujaga home yule mzee alikua anaitwa "Babu Che Mambo" alikua anapiga tumbaku bandika bandua.
  9. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    ID inajieleza
  10. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani. Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
  11. Chinga One

    Kuna wimbi kubwa sana la Ulimbukeni na ushamba kwa Watanzania hasa Mtu akijua kusoma na kuandika

    Kwahiyo majina ya asili ndio yanafanya uwe mwanasayansi bora au mwanamichezo bora?😁 akili finyu sana hizi👎
  12. Chinga One

    Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

    Ukiwà na app 10 ukakopa 40 kila app,unakua na laki 4,unachukua laki unaweka odd 4,unapiga lak karibia laki 5,jioni unakaa zako Kitambaa cheupe unakula coktail mdogo mdogo huku unaperuzi swaafi kabisa,maisha yanataka fomula ndogo sana ili utoboe
  13. Chinga One

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Uwalipe wakat tayari washakuanika? win win situation wewe bak na hela yao wao wabaki na uzalilishaji wao.
  14. Chinga One

    Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

    Moja kwa moja kwenye mada.... Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
  15. Chinga One

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huk utazikuta app zote ulizo allow ku access simu yako then gusa moja moja utakuta kipengele cha dont allow.
  16. Chinga One

    Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Angekua mmakonde,mzaramo au mdigo hapo sawa ila mchaga na ukungwi wapi na wapi kiuno chenyewe kigumu kama jiwe walilolikataa waashi.
Back
Top Bottom