Search results

  1. jimmymziray

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    hakuna mwenye huu wimbo kweli
  2. jimmymziray

    Simba ilishawahi kupigwa 9 na Yanga

    Hiyo post ya simba kupigwa 9 nimeiona,kwa great thinker sidhani kama ni sahihi kuandaa uzi kuhusu hayo matokeo kwasababu ni kushusha ukubwa wa JF au lah basi ungeupeleka uzi huu kwenye jukwaa la vichekesho. Hebu jiulize 1. 1938 kulikuwa na ligi kuu tz?maana ile post imeandikwa TPL yani Tanzania...
  3. jimmymziray

    Msaada: Whatsapp kwa android 4.4.4

    Jinsi ya kudownload na kuinstall aina yoyote ya whatsapp kwa android version 4.4.4. Shukran
  4. jimmymziray

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    😂 😂 😂 😂 😂 😂
  5. jimmymziray

    Msaada: Sehemu nzuri tulivu ya kulala Morogoro

    Hapohapo stand ya mkoa msamvu kwa nyuma kuna lodge kama 30 hivi zimeongozana, ni kuchagua tuu....
  6. jimmymziray

    Msaada: Sehemu nzuri tulivu ya kulala Morogoro

    Jamaa muongo sana..... Msamvu hakuna gari za kwenda mazimu ya SUA
  7. jimmymziray

    Mchezo wa karata wa last card unachezaje kwa kingereza?

    1. Play heart 2. Stop two peeps 3. Advantage 4. Take joker 5. Play disadvantaged 6. Play club 7. Play spade 8. Play diamond
  8. jimmymziray

    Kama kuna mwenye kujua site naweza ingia nikapakua series kwa version ya Kiingereza naomba anisaidie....

    Habari ya saa hizi brothers and sisters, ni matumaini ya mtima wangu kuwa nyote ni wa buheri wa afya... Ama baada ya salamu, wapendwa nina shida yangu.... Huwa napendelea sana kuangalia series hasa za kimexico na Venezuela, na mara nyingi huwa kuna ambazo niliangaliaga zamani ITV na Star tv...
  9. jimmymziray

    Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

    Nashukuru kwa alert, i'll be more careful assup.
  10. jimmymziray

    Singida United vs Young African sports club niliyoyaona mimi

    Wingi wa mataji kuanzia ligi,copa de ,super cup,eufa,nk Kama ilivyo tanzania,yanga kamzidi simba kombe la ligi tuu,ila kwa ujumla wa vikombe vyote,simba kamzidi yanga,tena saaaana tu
  11. jimmymziray

    Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

    Haina tatizo, maadam nipo hapa kwa ajili ya msaada sitopuuzia.
  12. jimmymziray

    Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

    Habari wana jamvi, ni matumaini yangu kwa uwezo wa yeye tumtumainiaye wote ni wazima wa afya. Ama baada ya salamu, kama jinsi thread inavyojieleza wandugu nina suala nahitaji mawazo na ushauri wenu, ingawa sina hakika kama wachangiaji watakaochangia watanipa ushauri unaofaa au la. Kwa utashi...
  13. jimmymziray

    Simba njaa yenu kali sana..!!duhhhh...

    Umeongea kwa hisia kali....umepata maumivu makali sana....pole ndugu,huo ndio ubaya wa simba...wakiamua kukutesa,unateseka kweli.
  14. jimmymziray

    Haruna Niyonzima asajiliwa tena Yanga

    hizo ni mbwembwe...hajatambulishwa bado
  15. jimmymziray

    Game gani, na upo level gani kwenye simu?

    Ingia playstore andika elite checkers online
Back
Top Bottom