Search results

  1. R

    Elections 2010 Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA: Kujiandaa kuongoza?

    Masikini,wenzetu wanajenga mifumo ya vyama toka vijijini,ati hapa kwetu vyama vyetu vinazunguka na helkopta siku mbili na kuchukua majimbo matatu vinadai vinataka kuchukua nchi uchaguzi ujao,kweli? Mimi ni chadema lakini kwa mwenendo huu hatutafika, bado kuna matatizo mengi-5 kati ya wabunge 6...
  2. R

    Lwekatare wa CUF kuhamia CHADEMA

    Mimi naijua full story ya lwakatare.Alikuwa mpiga debe wa hali ya juu CUF,mwaka 2000 lipumba akamteua kuwa naibu katibu mkuu bara na baraza kuu la uongozi la chama chake likampitisha,then baada ya uchaguzi wa ndani ya chama wa CUF wa mwaka 2004 Lipumba aliposhinda alimteua kuwa naibu katibu mkuu...
  3. R

    Am addicted to paying sex.

    why dont you consult the psychologists.
  4. R

    Am addicted to paying sex.

    why dont you consult the psychologist.
  5. R

    Bajeti ya 2009/2010 Tanzania

    kumbe mtikisiko wa uchumi umetuathiri!ha ha haaaaa,mbona hawajaacha kuagiza mashangingi? god help these unsure leaders!
  6. R

    Lwakatare ajipanga

    Gud idea mkubwa;vyovyote mtu aamuavyo lazima tuheshimu maamuzi husika:
  7. R

    Lwakatare ajipanga

    Nadhani ni haki yake kujiuzulu,na sidhani kama ni pigo kwa chama chake! Katika kila chama kila mtu ni muhimu,alikuwepo mwalimu nyerere na sote tulidhani ni muhimu sana katika nchi yetu,mwalimu alifariki na nchi ikiwa katika ufisadi mkubwa na hali hiyo in aendelea hadi leo.Nadhani cuf wanaweza...
  8. R

    Wanafunzi mabibo kufunga barabara:

    Nawapongeza sana wanafunzi wa mlimani na waishio mabibo kwa kuamua kutumia nguvu zao wenyewe ili wasiendelee kugongwa kama kuku hapo barabarani. Unajua hapo njia panda ya kwenda hostel wanafunzi wengi sana wamegongwa na kuuawa tangu hostel zilipojengwa. Nakumbuka ni ule uongozi wa julius...
Back
Top Bottom