Search results

  1. Parasite

    Kumeibuka tatizo la wanawake kupoteza maumbo yao ya kuvutia. Kipi ni chanzo?

    VYanzo hutofautiana kulingana na jinsia na mabadiliko ya mienendo ya maisha kwenye jamii husika. Tukianza na sababu ambayo inaingia kote au sababu ambayo inasababishwa na hali ya maendeleo kwenye jamii,hapo zaman kidogo jamii nyingi zilikua zikitumia miili yetu kama nyenzo ya kufanyia kazi...
  2. Parasite

    FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Tunaomba takwimu za kipindi cha pili mkuu ndugu yetu.
  3. Parasite

    Serikali: Zaidi ya Wanafunzi 1,092,000 Kuanza Sekondari Januari 2024

    List moja ina shule 24,zidisha kwa tatu unapata shule 72 sasa yeye anadanganya watu eti shule zipo 38.
  4. Parasite

    Serikali: Zaidi ya Wanafunzi 1,092,000 Kuanza Sekondari Januari 2024

    Na yupo mmoja alikua anadanganya watu eti shule za bweni za serikali zipo 38, Sasa najua anasoma huu uzi naomba apewe hii listi ya shule za serikali za bweni kwa ajili ya kidato cha kwanza.
  5. Parasite

    Serikali: Zaidi ya Wanafunzi 1,092,000 Kuanza Sekondari Januari 2024

    Jibu rahis sana, wengi wanapewa nafasi hizo kwa njia za panya,hivyo kwasababu sio uwezo wao hatimae huishia njiani. Yupo jamaa yangu miaka ya 99 alipangwa day school wazazi wake wakaja juu kwanin apangwe day ikiwa ana akili sana?wakati huo mimi nipo shule ya bweni ya serikali,wakaminyana...
  6. Parasite

    Serikali: Zaidi ya Wanafunzi 1,092,000 Kuanza Sekondari Januari 2024

    Ulitaka wapelekwe wapi? Mimi wakwangu mapacha wamemaliza msingi ya serikali na kurwa ana wastani wa A na amepangwa shule ya kutwa ya kata. Na wapo hapo hapo wenye wastan wa B wamepelekwa bweni.nilishatoa mpaka uthibitisho hapa walikua wanabisha wakabaki midomo wazi baada ya kuona ushahidi...
  7. Parasite

    Hezbollah yasema Lengo la Hamas lilikuwa ni kuiambia Dunia kuwa IDF si lolote wala Chochote, na Wamelitimiza!

    These are arming techniques broo, Huwa zipo sana,kikubwa umuwini mshkaji. Jiulize kwann ukiwa mpelelezi unaweza ku act kama chizi tena zaidi ya miaka,hizi ni mbinu tu. ila ukweli utabaki kwamba IDF si kubwa kama vile ambavyo inaogopwa.
  8. Parasite

    Thread maalum kukumbushana michezo ya utotoni iliyosahaulika

    Yani huyu jamaa ni mimi kabisaaa enzi hizo.
  9. Parasite

    Thread maalum kukumbushana michezo ya utotoni iliyosahaulika

    Ndio hizohizo,tulikua tunachimba udongo then tunafinyanga,kwa lugha ya uswazi tulikua tunaita mbwewe.
  10. Parasite

    Hivi ni kwanini mwanaume akimzalisha tu binti dharau zinaanza

    Nijuavyo mimi,hayo makabila yanayosemwa kwamba hayako romantic sio kweli,tunapaswa kujua tu kwamba shule zimeshafika kila kona sasaivi,kama walikua hawajastaarabika ilikua zamani sio sasa, Ninachokiona mimi ni kwamba wanadamu tunaishi kwakutegemeana,hapo hapo kuna wakati kila mmoja anakua na...
  11. Parasite

    Hivi ni kwanini mwanaume akimzalisha tu binti dharau zinaanza

    Naku Nakupinga kwa asilimia kubwa
  12. Parasite

    Thread maalum kukumbushana michezo ya utotoni iliyosahaulika

    Nilijaribu hii na kasichana kanaitwa Zai (mungu amlaze mahali pema peponi),kumbe watoto wenzangu walikua wanakula chabo,wakaenda kusema kwa bibi,bibi akauza kesi kwa dingi dah nilichezea stik sintokuja kusahau mpaka naingia kaburini.
  13. Parasite

    Thread maalum kukumbushana michezo ya utotoni iliyosahaulika

    Umenikumbusha enzi hizo mchezo wa KUWINDA NDEGE PORINI, MJUBA NILIKUA NASOKOTA NYANGA ZANGU KAMA 100 HIVI, ALAFU NAZAMA PORINI NIKIRUDI SIKOSI NDEGE KAMA 20 KWENYE KIFUKO,NILIKUA NALENGA NDEGE MPAKA WATU WANASTAAJABU. SIKU MOJA NIMETOKA TU SCHOOL NILIVYOINGIA NDANI NIKABADILI NGUO NIKATOROKA...
  14. Parasite

    Naomba mwenye link ya matokeo ya kachaguliwa kidato cha kwanza mwaka 2024 atume

    Ipo namna ndugu,wewe usiseme eti hakuna cha rushwa,sawa hatujakataa kwamba hakuna rushwa ila tungefafanuliwa wanatumia vigezo gani kuwapanga hawa watoto kwenda kidato cha kwanza?mimi ninao watoto mapacha wamemaliza msingi hizi za serikali,mmoja amepiga wastani wa A na Hesabu ana A bado kapangwa...
  15. Parasite

    Fundi simu kwa bei nafuu

    Nimefanikiwa kutoa FRP kwenye infinix smart 6 kwakutumia samsung frp tool v1.6. Ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu.
  16. Parasite

    Fundi simu kwa bei nafuu

    Kutumia locked sim imekataa.
Back
Top Bottom