Search results

  1. M

    Matatizo ya Engine za Toyota IST na suluhisho lake

    Baada ya kuibiwa Sana na mafundi, kupoteza fedha nyingi, na kusoma thread nyingi kuhusu Toyota IST, namshukuru Mungu, nimepata fundi wa uhakika anayejua nini ni nini Yani nini kimesababishwa na nini, na nini afanye ili Kuondoa tatizo, Baada ya kumpelekea gari akaiendesha kwanza, alivyoshuka...
  2. M

    Matatizo ya Engine za Toyota IST na suluhisho lake

    Yangu Mimi Ni 1NZ FE 1490cc, 4WD, IST shida nayokutana nayo sasa gariimebadilisha sound engine, ikichanganya inalia Kama Subaru, Yani inabadili mlio kama vile ni manual, si mda wote Kuna wakati inatulia na kutoa mlio vizuri, fundi kwenda kupima hakuona kitu, akapewa namba ya fundi mmoja wa...
  3. M

    Wapi nitapata laptop ya Dell Inspiron 11 3000 series 2 in 1

    naomba ushauri chief mkwawa laptop yenye specs zifuatazo 8gb ram 500gb hdd 2-2.8ghz i5-i7 generation budget yangu ni 5k-9k nia ni kwa ajili ya youtube channel TV, na kuandika vitabu. je ninunue laptop ipi? aina gani? na wap? niko dar. kuna madhara ya computer hizi za mtumba toka china wanazo...
  4. M

    Jinsi watu wanavyolizwa na Tigo Niwezeshe

    Watanzania wengi wanaishi maisha ya kukopakopa. Huko kwenye kukopa ndiko watu wanalizwa vibaya sana. kama watanzania wengine nikaingia account ya tigo nikakopa airtime. Sasa nikasema ngoja ni clear deni lote leo. Haya ndo madudu niliyoyagundua; imebidi niandike ili watu tuwe macho kabla ya...
  5. M

    Ushauri niweke screen protector ya aina gani?

    cover ya aina gani maana tayari nimeweka cover
  6. M

    Ushauri niweke screen protector ya aina gani?

    asante nipata wapi? nipo dar
  7. M

    Ushauri niweke screen protector ya aina gani?

    simu yangu pendwa niliiangusha, ikapata crake mwishoni sina mpango wa kubadilisha wala kuiacha. ni Samsung note 8, Kuna scree protector za aina nyingi sasa sijui niweke ya aina gani kusolve ilo tatizo. naomba ushauri
  8. M

    Mwenye uelewa kusajili Channel

    jamani maudhui ya dini ninakatia leseni pia?
  9. M

    MSAADA KUFUNGUA ONLINE TV

    namimi naomba mtu mwenye utaalamu anitafute 0713297066
  10. M

    Maofisa NIDA mikononi mwa Takukuru Moshi

    Mh Raisi Dkt. John Pombe Magufuli ninajua unapitia kwenye mitandao hii,Heshima yako,au una watu wako,wanaopitia naomba utusaidie wakazi wa moshi, ofisi za nida kwa kweli zimekuwa ni mwiba kwa wananchi,tunaomba utubadilishie watumishi hawa wasio waaminifu, dar vitambulisho mwezi mmoja tuu mtu...
  11. M

    Maofisa NIDA mikononi mwa Takukuru Moshi

    Mh Raisi Dkt. John Pombe Magufuli ninajua unapitia kwenye mitandao hii,Heshima yako,au una watu wako,wanaopitia naomba utusaidie wakazi wa moshi, ofisi za nida kwa kweli zimekuwa ni mwiba kwa wananchi,tunaomba utubadilishie watumishi hawa wasio waaminifu, dar vitambulisho mwezi mmoja tuu mtu...
  12. M

    Natafuta agents wanaosafirisha watu Israeli from Dar es Salaam

    Mwenye kujua kampuni zingine pls help
  13. M

    Natafuta agents wanaosafirisha watu Israeli from Dar es Salaam

    Msaada wa hapo wakuu, Natafuta mawakala wanaosafirisha watu kwenda kutembelea Israeli.
  14. M

    Watu wanalipwaje na google play store through app

    Naomba msaada hapo wadau? ni kweli google store wanalipa watu ukiwa na downloader wengi katika app yako?
  15. M

    Jipatie Dawa ya kuua magugu katika mpunga

    Flexible application timing pre - or post - emegence of both the weed and the crop. iyo statement kitaalamu ana maana gani? nimekuta maelekezo ya iyo dawa. je litre ni bei gani? heka inatakiwa litre ngap?
Back
Top Bottom