Search results

  1. djcondoro

    Hii Airtel OMG internet imepatwa na nini?

    OMG ilipoanza ni kweli ilikuwa nafuu na user ulikuwa unapewa GB za kutosha mpaka 40gb kwa mwezi nakumbuka, ila ile ilikuwa ni marketing strategy tu ambayo offcoz sikutarajia ingedumu sana sababu ilikuwa aiwalipi, nia ilikuwa kuvutia users wahamie Airtel then baadae wanakuja kutugeuka kama ilivyo...
  2. djcondoro

    Nahitaji kununua gari Saloon/Suzuki Escudo

    All, 7.6mill nicheki nikupe Grande Mark II kali ambayo ipo well maintained with no issues.
  3. djcondoro

    Zari white party

    On the other side unagundua wanawake ni viumbe wa ajabu sana, yaani platinumz anavyowanyoba na kuwaweka mitandaoni ndio wanazidi kuja kwake kwa kasi ya ajabu, kweli huu uumbaji huu dah! Ila all in all dogo anakula mbunye kali sanaa! Subirini muone akimalizana na uganda tu, ngozi mpya itakwea faster!
  4. djcondoro

    Bank gani Tanzania inatoa Online Services nzuri?

    Chukua ya Barclays, inafanya kila kitu na hiyo access ni automatically provided hakuna cha kujaza form uwezeshwe. Crdb wanacomplicate mambo sana na charge Yao utajutaa!
  5. djcondoro

    Millioni 9 kitu cha NOAH.....

    Km million na ushee? Balaa!
Back
Top Bottom