Search results

  1. Eshy m.s

    Sufi zinapatikana wapi na gharama zikoje?

    Msaada jamani Anaejua sufi zinapatikana wapi atufahamishe
  2. Eshy m.s

    Soko la Ufuta mwaka 2017

    Ufuta mwaka huu bei sio nzuri, hasara tuu, huku Kibiti kilo 1500/= - 1600/=, ila ukiuza shambani 1200/=
  3. Eshy m.s

    Anayejua namna ya kutengeneza bagia za kunde

    Zikiwa na maganda Haifai?
  4. Eshy m.s

    Msaada wa kutengeneza keki

    Asante sana mimi naisubiri hii ya upambaji cake
  5. Eshy m.s

    Salad ya kabichi

    Nzuri sana
  6. Eshy m.s

    Niulize kuhusu mapishi ya futari mbalimbali

    Mi naomba unijuze jinsi ya kupika kachori
  7. Eshy m.s

    Msaada: Lotion nzuri kwa uso wenye mafuta

    Ni maji ya rose yanauzwa madukani. Mi huwa natumia haya[emoji116]
  8. Eshy m.s

    Kama unataka kufanikiwa na kuwa tajiri, acha tabia hizi...

    Aisee nami nitaanza kufanya hivyo
  9. Eshy m.s

    Kama unataka kufanikiwa na kuwa tajiri, acha tabia hizi...

    Somo zuri nimelipenda naimani litanibadilisha hasa hapo namba 1, 4 na 5
  10. Eshy m.s

    AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

    Mi kwangu uko poa narudia rudia kuiangalia hapa kali balaa
  11. Eshy m.s

    AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

    Yaani nimeiangalia ni kali balaa
  12. Eshy m.s

    Ali Kiba - Lupela

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. Eshy m.s

    Ali Kiba - Lupela

    Kwakweli amerudishwa, mi nilikuwa siujui huo I am addicted ila leo nimeujua tena mzuri kuliko iyo lupela
  14. Eshy m.s

    Tecno sasa inapokea Updates

    ok thanks ngoja nifanye hivyo
  15. Eshy m.s

    Tecno sasa inapokea Updates

    @Chief-Mkwawa sorry natumia sumsung Grand prime ina android version 4.4.4 Kitkat but nataka kuiupdate iende kwenye lollipop ila sijui jinsi ya ku update, naomba unielekeze Jinsi ya ku update kama hutojari.
  16. Eshy m.s

    Napinga vikali ushindi Diamond MTVEMA, Ni hujuma dhidi ya Sanaa ya Mwafrika

    Bwana mi naona huyu mtu msiwe mnamjibu,,, Hamna kitu kabisa
  17. Eshy m.s

    VOTE FOR DIAMOND PLATINUMZ: MTVEMA Worldwide Act: Africa / India

    Hahaaaa eti pili mchopanga daaah..
  18. Eshy m.s

    Just IN: Diamond Atangazwa Mshindi MTVEMA

    Hahaaa huyo priyanka tutamnyoosha tu hata kwa pasi ya mkaa,,, woyooooo,🙌🙌
Back
Top Bottom