Search results

  1. D

    Rais Kikwete amteua Natu Rashid Msuya, kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini PTF

    Hata heshima ya urais hakuna tena! Ni michezo ya kuigiza tuu!
  2. D

    Rais Kikwete amteua Natu Rashid Msuya, kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini PTF

    Huyu anakumbuka Shuka wakati kulishakucha?
  3. D

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Amekimbia mdahalo kama alivyokimbia Kikwete?
  4. D

    Fastjet: Kwa wale mlikuwa mnadhani itakuwa msaada kwa watanzania, someni hapa.

    Kwa mwenye website ya hawa jamaa (fastjet) naomba anirushie tafadhali!!
  5. D

    Dr. Slaa awapongeza wananchi wa Kigoma

    Wewe nduka na mark wote ni wapumbavu tu! Hoja zenu zote ni za kijinga tu kwani mna chuki binafsi, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kusubiri kuambiwa mpinzani wa kweli ni nani! Na hao watu wa kigoma akili zao wote zimegoma kubadilika wanabaki hivyohivyo na umaskini wao mpaka wafe, hakuna...
  6. D

    Slaa, Mwakyembe watishiwa kuuawa

    Slaa, Mwakyembe watishiwa kuuawa Na Saed Kubenea - Imechapwa 09 March 2011 Membe, Mengi, Mwandosya nao wamo IGP: Tuna taarifa hizo, tunachunguza Sheikh Yahaya Hussein naye ahusishwa KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini, Dk. Willibrod Slaa ametajwa kwenye orodha ya watu wanaotishiwa...
  7. D

    Ombi kwa waishio marekani

    kwa ushauri wangu nadhani ungefanya tour kwanza kuja kujionea hali halisi mwenyewe usiache kazi mara moja mbali na vishawishi visivyokuwa na ukweli ndani yake kwa sababu kubwa zifuatazo, kuhusu huo mshahara wako unaopata hapo siyo kiasi kikubwa sana cha kukufunga ubaki bongo, lakini kulingana na...
  8. D

    Sheikh Basalleh wa Radio Kheri Ni Mchochezi

    Wewe unayejiita Fungu la kukosa hata akili yako nadhani ni ya mafungu, aliyekwambia kwamba 75% ya wakazi wa mjini ni waislam ni nani? nitakubaliana na wewe kama ungesema Tanzania ni pwani, Tanga, Kondoa na mtwara hapo ndiyo ungeweza kutumia data zako hizo.
  9. D

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Bado kuna kitu kinanisumbua sana akilini kuhusu huyu jamaa JK, kuna siku niliona picha yake akiwa mbagala kwenye msiba wa Shehe Mtopea, hiyo nadhani ilikuwa tarehe 6 Feb, hiyo haikunishangaza sana nikaona ni jambo jema kwenda kufariji wafiwa ingawa kigezo kilichotumika ni kuwa Shehe Mtopea...
  10. D

    Hasheem Thabeet: From the NBA to the D-League

    Mmi nafikiri tatizo kubwa lililomkumba huyu ndugu yetu ni USHAMBA TU baada ya kuona amekuwa pick # 2 NBA akajiona sasa dunia yote ya kwake! trip za bongo zikawa kama dawa ya homa 3 kutwa mara 3, na akifika bongo IKULU ya kwake, Rais mwenyewe anajipendekeza kwake, kama kawaida ya Rais wetu...
  11. D

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Ni Mzanzibari aliyetorokea Uarabuni Ana mahekalu jirani na vigogo Zanzibar Kuna utata kuhusu deni la Bil.100/- na rehani ya mitambo Mwandishi Wetu Februari 23, 2011 WAKATI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) likielezwa kuanza kuwasha mitambo ya Dowans, mmiliki wa kampuni hiyo aliyezua...
  12. D

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Hata mimi ningeshangaa sana kama ungemkubali Nyerere wewe na kundi lako wenye akili finyu za kufikiri zaidi ya kulalamika tu kwamba tunaonewa, hatuna vyuo vingi, hatupewi madaraka, ila ukumbuke kuwa Roma haikujengwa siku moja! ni juhudi za za ziada zinahitajika ili angalau uweze kuwa mshindani...
  13. D

    Rostam ndiyo chanzo cha matatizo yote!!

    Huyu Rostam ndie chanzo ya matatizo yote katika Serikali yetu ya Tanzania. Yeye ndie anaeivuruga CCM kwa maslahi yake binafsi na ni yeye ndie alieleta Wahindi/Waarabu wafanyabiashara katika ccm. Yote haya ni katika kuiweka serikali mfukoni mwake. Na ni yeye anaeandaa watakaotawala mwaka 2015...
  14. D

    Je kwa nini jeshi la misri halikutumia nguvu kumbakisha mubarak madarakani?

    Kwanini jeshi la Misri halikutumia nguvu kumbakisha Mubarak madarakani? Lula wa Ndali-Mwananzela Februari 16, 2011 “Jenerali Tantawi, ingilieni kati kuwazuia waandamanaji.” “Jenerali Tantawi, mnangoja nini?” “Jenerali Tantawi, nisikilizeni, mimi ndiye Rais.” “Jenerali Tantawi, ninawaamuru kwa...
  15. D

    Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

    JANUARY MAKAMBA: Dalali au Mzalendo? Msomaji Raia Februari 16, 2011 SHIDA haina adabu. Yaweza kumfanya nyang’au kuwa mzalendo na mzalendo kuwa nyang’au. Mbunge wa Bumbuli, Mheshimiwa January Makamba, wiki iliyopita alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini ndani ya bunge letu...
  16. D

    Bomu la CHADEMA kwa Pinda hadharani

    Polisi wamchuuza kwa taarifa zao Mbunge Lema awasilisha hoja 10 Spika ataka iwe kwa maandishi Mwandishi Wetu Februari 16, 2011 SAKATA la vurugu na mauaji yaliyotokana na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha linaelekea kumuelemea Waziri Mkuu Mizengo Pinda...
  17. D

    Eti chenge ajitangazia uadilifu!!

    Chenge ajitangazia uadilifu Send to a friend Sunday, 13 February 2011 21:06 0diggsdigg Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Andrew Chenge, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu uchunguzi kuhusu kashfa ya rada uliofanywa na ofisi ya Kuchunguza Rushwa Kubwa ya...
  18. D

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Mmenipeleka RUVU JKT,(program ya chama) 1988/1989 EAGLE COY, jamani mpo? nakumbuka nilijongo kwa muda kama wa miezi mitatu hivi, niliamua niache kabisa kwani maisha yalielekea kunishinda, lakini kila nilipokuwa nakutana na watu mitaani walikuwa wananiuliza vipi si ulikuwa jeshini wewe...
  19. D

    Pinda amelidanganya bunge!

    NI KWELI WAZIRI MKUU AMELIDANGANYA BUNGE Deusdedit Jovin FEBRUARI 10 mwaka huu, Spika wa Bunge, Anne Makinda, alipindisha Kanuni za Kudumu za Bunge (2007) kwa lengo la kubembeleza urafiki wa Kaizari, kati yake na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Jambo hili lilitokea baada ya Mbunge wa...
Back
Top Bottom