Kama kawaida Tatizo la Watanzania WIVU NA UBINAFSI.Watu wangi wanafikiri watu wa Marekani watafaidika..jamani sio kila jambo linaweza kufaidisha watu wote.Kuna watu hawana watoto na hawategemei kupata watoto lakini si wanashiriki kujenga shule?.Sisi uku Kyela tunautaka sana maana kuna watoto...
Mwongo huyo hakuna cha sumu. Mvuto Kyela umepungua sasa anatafuta namna ya kuja kutudanganya.
Picha yenyewe itakuwa hivi
1. Kapewa sumu
2. Anapelekwa nje kwa matibabu
3. Anarudi nchini
4. Mandamano Kyela ya kumpokea
.....Nitakuwa Mtu wa mwisho kuamini hii habari. HIYO SUMU KAPEWA...
Dogo ukiona kimya ina maana wamekubali walishindwa ..Watani zangu wale wanaopendaga kujinyonga kule nyanda za juu wnasemaga "ukiona nimenyamasa bee niangushege"
Hizo ni symptoms za loser.Kwani mlipokuwa mnaingia kwenye uchaguzi mlikuwa na imani gani na nec?Kama wewe umeshindwa ni kuachana na siasa...wache wnanchi waendelee na kazi zingine ...umeshindwa umeshindwa basi....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.