Search results

  1. B

    Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

    Ni watabiri wazuri wa matukio yajayo. hubadilisha mkao, mlio na hata namna kusimamisha manyoya yao.
  2. B

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Wajibu haukupi uhuru au uchaguzi wa kufanya au kutofanya. Ndiyo lazima yenyewe (must).
  3. B

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Hawajui wanachokiongea. Wajibu (obligation) ni lazima kwani ni jambo linalokudai utende. Kwa hiyo, wajibu ni lazima.
  4. B

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Pesa itakutunza lakini haitakupa faraja wala utulivu. Watoto ndiyo!!
  5. B

    Kwanini vijana/watoto wengi waliotumikia Altareni Leo hii asilimia kubwa sio watu wa dini wala kusali

    Familiarity breeds contempt. Kukaaa sana altareni na kuyazoea mno mambo matakatifu wakati mwingine kunaweza kuondoa ile hofu ya Mungu na matakatifu yake na kumfanya mtu ayaone mambo ya kawaida tu na hivyo kupoteza hamasa ya maisha ya kiroho
  6. B

    Kwanini vijana/watoto wengi waliotumikia Altareni Leo hii asilimia kubwa sio watu wa dini wala kusali

    Wewe dada umenichekesha sana bado asubuhi. Ila hongera kwa kurudi tena kanisani.
  7. B

    Kwanini haiitwi Vatican Country badala yake inaiwa Vatican City?

    Kirasmi Vatican inajulikana kwa jina la "The State of the Vatican City"
  8. B

    Kwanini haiitwi Vatican Country badala yake inaiwa Vatican City?

    Sawa kabisa. Lo Stato della Città del Vaticano.
  9. B

    Nimeota Nafanya Ngono na Dada angu Tumbo moja

    Usihangaike sana. Ubongo wa mwanadamu una mengi. Kuna wakati ubongo hufanya errors kama ilivyo kompyuta au simu. Kuna wakati vifaa hivi pamoja na kwamba vimetengenezwa kwa ujuzi wa juu sana lakini hufanya makosa bila kutarajia. Vivyo hivyo ubongo wa mwanadamu. Ndoto yako ilikuwa ni error ya...
  10. B

    Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

    Wakongo ni watu wa starehe sana kwa hulka yao. Kutokana na hali hiyo wakawa wabunifu sana katika utunzi wa nyimbo za muziki na uimbaji. Lakini Siasa kali za Mobutu (udikteta) uliwafanya wakongo watafute njia za kujiliwaza kwa kukimbilia kwenye muziki na hivyo mziki wao ukapanda sana chati...
  11. B

    Nipo kwenye ndoa, mume wangu hataki watoto hivyo nikipata mimba natoa kulinda ndoa yangu

    Ndoa yako ina harufu ya ubatili. Kukataa watoto ni kukataa jambo zito sana ambalo ni sawa na kuikataa ndoa yenyewe. Pole sana mama.
  12. B

    Kardinali Laurence Sengo wa kanisa katoliki Congo amtaka kabila aondoke madarakani.

    Umekosea jina lake. Anaitwa Laurent Monsengwo Pasinya. Ukigoogle utamkuta.
  13. B

    Laana ya kufanya mapenzi na watu wa familia yako

    Wala si suala la laana, bali ni suala la kibaolojia tu.
  14. B

    Kwa nini wanawake wanafanana miandiko?

    Mwandiko uliolazwa kwa nyuma (kina dada) na ule umelazwa kwa mbele (wanaume). Mi nadhani hili limekaa kisaikolojia zaidi. Yafaa kutafakari zaidi.
  15. B

    Baada ya kuibiwa simu nimefuata process zote kuipata ni shida

    Hii ni bongo ndugu. Usitegemee kupata ufumbuzi mara moja.
  16. B

    Kwanini vijana wenye uwezo mkubwa darasani wengi wanapata magonjwa ya akili?

    Mwenyekitu, umesema kweli kabisa. Majiniasi wengi hawana creativity. Ila wana photografic memory hawasahau kitu. Wanameza yote na kukumbuka yote. Ila ubunifu wengi wao hawana.
  17. B

    Am new member(utambulisho)

    Karibu sana. Ila una sura chafu Jonas kama unavyojibainisha kwenye picha. Mpua wako unatisha Jonas. Karibu hata hivyo.
  18. B

    Kwanini vijana wenye uwezo mkubwa darasani wengi wanapata magonjwa ya akili?

    Aristotle kasema ukweli mtupu. Na huo ndiyo ukweli.
Back
Top Bottom