Search results

  1. D

    Ukweli juu ya kuoa: Oa ukiwa na uhakika kuwa huyo ndiye chaguo lako pekee na upo tayari kuishi naye katika hali zote

    Na Mimi Niko Sawa na wewe mkuu. Natamani miaka irudi nyuma mpaka nilipokuwa bachelor ila nibaki na watoto wangu tu, kitu ambacho hakiwezekani
  2. D

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Ilipokutokea Mara ya kwanza ilikuwa kawaida tu siku hazifanani, goli 4 kwenda ya 5 inaweza kutokea hali hiyo. Sasa kuanzia siku hiyo ulijenga hofu kichwani mwako na ndicho kinachoku cost. Suala la madawa si suluhisho la kudumu zaidi itakujengea utegemezi tu wa hayo madawa. Kama huyo ni mpenzi...
  3. D

    Sijaelewa utaratibu wa kukaguliwa vitambulisho Uvinza

    Huwa wana salamu zao na wanajua mtanzania anajibuje. Ile kujibu fasaha na muonekano wako tu vinatosha wasikutilie mashaka hata Kama huna kitambulisho. Imenitokea Mara nyingi tu.
  4. D

    Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

    Nimerenew juzijuzi tu. Kitambulisho Cha taifa mbele Kama Tai. Na kurenew hakuna tofauti na taratibu za kutafuta passport km vile hukuwa nayo. Kila kitu kinaanza upya na within a week niliipata passport yangu bila longolongo.
  5. D

    Je, mtoto kuanzia miaka mingapi anatakiwa kukatiwa tiketi ya ndege?

    Mkuu, experience niliyonayo katika mashirika karibu mengi ya ndege Kama Qatar airways, KLM, Emirates, Turkish na Etihad..from two weeks up to less than 2 years wana regard Kama infant na utatozwa pesa kidogo (hakuna Cha bure) na hatapewa sit. From 2 yrs to 12 yrs huyo anawekwa under children...
  6. D

    Uzi maalumu: Walioomba na Wanaomba passport za ki electronic tukutane na kushauriana njia na changamoto zakehapa

    Mkuu Mimi passport yangu ilikuwa inaisha August na bahati nzuri nipo bongo likizo nikaona Bora niombe ku renew kabisa Sasa. Ukifuata procedure kujaza online na ukaambatanisha docs zote zinazotakiwa km National ID, affidavit ya mmoja wa wazazi wako, cheti Cha kuzaliwa, barua ya sababu ya Safari...
  7. D

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    shalet, Pole mkuu. Nami miaka mitano nilipokuwa 35yrs nilipata tatizo la presha na nilipoenda hosp nilianzishiwa dawa ya Repace H (hii ni combination ya dawa mbili, losartan 50mg pamoja na hydrochlorothiazide 12.5mg), nimeitumia kwa kama miaka miwili, nikaipata effect hiyo ya ED. Baadaye...
  8. D

    Kwa mara nyingine tena, leo nimethibitisha puli ni mchezo hatari sana duniani

    Pole mkuu. Dawa ya tatizo hilo ni mwanamke pekee. kumbuka hilo ni suala la kisaikolojia zaidi, kwahiyo iwapo utashindwa halafu mwenza wako naye akazidi kukushutumu kamwe hutaweza tena. Ila ikiwa umeshindwa na akaendelea kuwa nawe hapohapo akikufanyia vimichezo vya hapa na pale bila kulizungumzia...
  9. D

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkuu, naomba kujua tatizo ninini, nimeomba kuunganishiwa umeme kwa umbali wa nguzo moja na kulipia toka January 2017, mpaka ninapoongea sijaungiwa umeme. Nipo Kyela. Naomba kujua tatizo ninini? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Tatizo la miguu mtoto mdogo kukanyaga pembeni

    Pole mkuu..ila usiwe na wasiwasi imeshatokea kwa watoto wangu wawili. Wa kwanza niliogopa kama wewe ila wa pili nikawa tayari na experience na wote wako sawa sasa. Kitu cha kwanza kufahamu ni ngumu kuuyoosha kama hajaanza kutembea. Mana wanapofanya mechanism ya kuunyoosha inabidi akiwa...
  11. D

    Wanaume: Kuzalisha na kuacha, inaleta tafrani kwenye saikolojia ya mtoto

    Mkuu ume hit penyewe, asilimia kubwa ya akina dada wanaleta mbwembwe na sababu kibao zinazopelekea mwanaume kuamua kukata mguu na kusamehe mtoto. Kwa mfano ni mchepuko na imetokea hivyo na mnaendelea kuwa naye baadaye anabadilika anapata bwana mwingine (si kwa ndoa au hata ikiwa ndoa haijalishi)...
  12. D

    Watoto wa Mawaziri wang'ara bodi ya mkopo wakulima walia

    kabla watu hawaja post wawe wanafanya utafiti kidogo jamani.. Prof Ndalichako ana mtoto mmoja tu wa kiume na alishamaliza shule zamani na wala hakusomea Tanzania na alisomeshwa 100% na mama yake ni mfanyakazi kwa sasa private sector..Huyo Jaq Felix Ndalichako ni mtoto wa mdogo wake ambaye kuna...
  13. D

    Napata wasiwasi na shule anayosoma kijana wangu

    Mtoto wako ana akili sana..alikosea ilikuwa shaded kipisi kimoja tu..alipoona kakosa na utamgombeza ka shade na kipisi cha pili pote ili umgombeze mwalimu...na amewapata wote humu mliochangia!!!:D:D:D
  14. D

    Kuhusu English Test ili uweze kupata scholarship

    Aisee hiyo kitu achaneni nayo jamani ni balaa. Mimi nilitakiwa kufanya IELTS na chuo kilichonipa admission wakati huo nilishapata scholarship ya mwajiri wangu..duuh ilikuwa balaa kwenye hizo components nne alizotaja mdau hapo juu..ila nilikomaa kivyangu na nikaambaa na chaki pale walipotaka...
  15. D

    Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

    Naomba nikuhakikishie tena huyo simjfahamu ninavyofahamu na kwa uhakika wa asilimia 100..ana mtoto mmoja wa kiume huyo niliyemsema na first degree yake kafanyia Canada..Mume wake pia ana mtoto mmoja wa kike (sijui alisoma wapi)..ila yeye na mumewe hawana mtoto waliyezaa pamoja..hope this will help.
  16. D

    Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

    Mama Prof ndalichako ana mtoto mmoja tu wa kiume aliyefaulu vizuri A level kwa one ya point 7 na baadaye akaenda kusomesha first degree Canada na amerudi hapa bongo anapiga kazi bila msaada wowote wa mama yake..acheni uongo kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo
  17. D

    Nakupenda sana: Pumzika kwa amani Mama yangu

    Pole mkuu mungu akujaalie nguvu kuishinda hali hii iliyokukumba...kama nakufahamu mkuu..jina lako na habari niliyopata kuhusu msiba huo.. I can guess who..poleni kwa msiba tupo pamoja...RIP mama..22..
  18. D

    Benjamin Ndalichako arudisha fomu Umeya Jiji la Dar

    yes ni mdogo wake wa mwisho kwa baba na mama.
  19. D

    ACT Wazalendo saafi majimbo 40: UKAWA na CCM mjipnge kuwapigia magoti bungeni kupata kura zao

    Naomba kuweka rekodi sawa, muhambwe kuna mkosamali wawili, aliyekuwa mbunge ni Felix mkosamali na bado anawania tena kupitia NCCR, Mwingine ni kaka yake tumbo moja Edgar Mkosamali aliyeshindwa kura za maoni CCM akahamia ACT, mwenye nguvu ya kupata ni Felix wa NCCR huyu mkubwa anapoteza muda.
Back
Top Bottom