Search results

  1. Mae

    Wanaume mkiachana na wake zenu mnaachana na watoto wenu pia?

    Kwanini watoto wachukue sides? watoto hawatakiwi kabisa kuhusishwa au kushuhudia ugomvi wa wazazi. Tena hata kama kuna kutokuelewana ndani ya ndoa watoto hawatakiwi kujua. Dundaneni mpaka mtoane macho chumbani kwenu, but mkitoka nje watoto should see smiles in your faces. Tabia ya wazazi...
  2. Mae

    Wanaume mkiachana na wake zenu mnaachana na watoto wenu pia?

    Ningekujua ningekupa zawadi for the above statement. Pesa is nothing jamani, watoto wanahitaji mapenzi. Wanawake wa siku hizi hawajali pesa zenu vijana, wapende tu wanao full stop. I have learned wanaume wanataka akichana na mkewe basi siku mojamoja aje kukumbushia enzi then hapo watoto...
  3. Mae

    Wanaume mkiachana na wake zenu mnaachana na watoto wenu pia?

    Hapo sasa anapotokea baba wa kambo akawapenda watoto na mama yao na kuanza kuwatunza na kuwakuwajali ndio utajua kuwa hao watoto wana baba mzazi. Janaume litakuja kila siku kujidai "nimewamic wanangu, nataka kuwatoa watoto out, blah blah blah". Wanaume wengine wanafanya hivyo makusudi kukomoa...
  4. Mae

    jamani nimeibiwa mtandaoni!

    Pole sana. I had the same problem but it has been resolved by yahoo and I got my email back. This is what u need to do, You should contact Yahoo Account Verification. They will verify your personal information that you entered when you opened your account and then issue you a new password. They...
  5. Mae

    Je Kipoozeo ni tiba ya kero katika ndoa au mahusiano?

    Hapo umenena dada......
  6. Mae

    Can Men and Women Be Friends?

    I disagree with that, wakati mwingine kwenye marriage mnahitaji to have your own sets of friends different from his/her's. I agree on the bestfriend part, mumeo/mkeo ndio anatakiwa awe ur bestfriend. But marafiki pia muhimu, napata a lot of ideas kutoka kwa marafiki zangu wa kiume...
  7. Mae

    Can Men and Women Be Friends?

    Jamani kama Trust ipo wala sijali.Mimi kwangu Ruksa kwa Mr. Kuwa na marafiki wa kike maana na yeye ananiruhusu kuwa na marafiki wa kiume. Kitu cha muhimu ni wewe kujua mipaka/boundaries zako na pia ujue tofauti iko wapi kati ya hao marafiki na mumeo/mkeo. Pia mkiwa wa wazi kati yako na mwenzio...
  8. Mae

    Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

    Kuolewa just because una mimba, ni kufunga ndoa for a wrong reason. Oaneni only if mna mapenzi ya kweli na mko tayari kuwa mume na mke. Wanawake wengi wanao olewa sababu tu wana mimba ndoa nyingi hazidumu, either zinavunjika/ ugomvi kila siku au jamaa anakuwa na "small house" tena huyo bi.mdogo...
  9. Mae

    Wakuu kuna umuhimu wowote mume kula chakula cha nyumbani!

    Mume akirudi nyumbani anatakiwa kuonja hata kijiko kimoja. Hilo ni somo mume wangu alifundishwa na my father (baba mkwe wake) na alimuambia hiyo ni kwa "heshima ya mpishi". Hata kama umekula ulikotoka kuonja chakula ulichoandaliwa nyumbani ni Heshima, pia kijiko kimoja hakiwezi kuharibu shibe yako.
  10. Mae

    Je kuna umuhimu wowote kumuandalia Chakula mumeo wakati housegirl yupo?

    Watoto nilizaa mimi na mume wangu, ni responsibility yetu pia. Siwezi kumpa mume 100% attention and care wakati watoto niliowazaa mtu mwingine ndio anawashughulikia. I don't have a housegirl and i don't need one, I only have a lady who comes to help na kazi ndogo ndogo when tupo kazini na watoto...
  11. Mae

    Je kuna umuhimu wowote kumuandalia Chakula mumeo wakati housegirl yupo?

    Nyumba ni ya mama, siku zote. Mwanamke jiulize hivi mgeni akija kwako akakuta mume kavaa nguo imejikunja kama imetoka mdomoni kwa ng'ombe au nyumba iko hovyo hovyo tu, unadhani nani atachekwa? wewe, mumeo au housegirl? Je ulivyokubali kuolewa hukujua position yako kama mwanamke? mimi ni...
  12. Mae

    She is having my baby, I can't get married to her!

    Hivi nyie vijana mnacheza na mama wa watoto zenu sana. Kumbuka kuwa huyo mwanamke akikulaani kaka yangu laana inakupata tena sana tu. Am talking through experience kaka yangu wa damu alimzalisha mwanamke akamuacha akaenda kuoa kwingine, kilio cha mtoto,mama mtoto na laana zake,mpaka leo kaka...
  13. Mae

    Siri za ndani...

    kusimulia kuna hatari zake. Maana anayesimuliwa na yeye atataka akajaribu aone je ni kweli?
  14. Mae

    Ali Kiba kurekodi video Marekani

    Hongera dogo, mambo yako si kitoto
Back
Top Bottom