Search results

  1. E

    Fitness

    App inaitwajena unaipakuaje ? naomba elimu hapo
  2. E

    Wizi wa flat screen Dodoma

    Wizi wa flat screen tv pamoja na remote zake imekuwa kitu cha kawaida. Wezi huvunja madirisha usiku na kuiba flat screen na remote zake tu hata kama wakikuta kitu kingine cha thamani hawachukui, wengi tumeibiwa lakini mara ukiripoti polisi utajibiwa kuna kesi nyingine labda ishirini au zaidi za...
  3. E

    Padre Amigu; Tafsiri potofu juu ya Talaka

    Na niombe kusema, kinyume na anavyotuaminisha anayejiita padri, katika biblia imeandikwa, na alaaniwe yeye alalaye na mamaye au umbu lake always yeyote. So kuoa au kulala na ndg awaye yeyote ni dhambi yenye laana kuu. Hapa mke wa ndoa hayumo na wala si pornea kama anavyotuaminisha padri fake
  4. E

    Padre Amigu; Tafsiri potofu juu ya Talaka

    Tusiingize siasa na mijadala isiyokuwa ya msingi katika dini, dini ziachwe nje kwa watu wanaojua bible au kurani
  5. E

    Padre Amigu; Tafsiri potofu juu ya Talaka

    Fornea may directicly mean fornication in other languages, which is a reason through which any Christian marriage may be dissolved biblically
  6. E

    Padre Amigu; Tafsiri potofu juu ya Talaka

    Ndoa kwa mujibu wa sheria za dini za kikristo zimeruhusiwa katika maeneo mawili, moja uchawiiodhihirika na pili uzinzi. Nasikitika mchambuzi kajikita katika tafisiri za kiislamu halafu akaziingiza kama za kikiristo. Iko mifano mingi na ya msingi katika dini za kikiristo zinajibu hoja yake...
  7. E

    Naomba Ushauri: Nataka kwenda kuchukua mchepuo wa PCB Panda Hill Mbeya

    Shule gani nyingine ya serikali nzuri kwa combination ya PCB ?? msaada
  8. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mdau mwenye kitabu cha ufugaji kuku cha pdf , name naomba unitumie kwa email yangu please...ebuji@yahoo.com
  9. E

    Shule ya Tusiime inaelekea kubaya/inachungulia kaburi

    Mimi ni mdau wa muda mrefu wa shule hii, toka miaka ile jamaa alipoanzisha chekechea nyumbani kwake pale Tabata magenegeni akiwa ndiyo anaanza, hadi pale alipoweza kuijenga Tusiime yenyewe bado nina watoto pale, japokuwa yule wa mwanzo alishamaliza akaenda shule nyingine. Tatizo kama mnavyosema...
  10. E

    Kazi kwenye Saloon za Massage . . .

    sidhani kama ni rahisi mkiasi hicho, mwanamke afanyiwe massage na mwanaume kweli si balaa hapo, maana mwanamke akivua halafu jamaa akawa anapitisha mkno kwenye kisimi itakuwaje? mwanamke lazima atasiamama naye
  11. E

    Naomba nitoe Shukurani zangu kwa MOD's na JF Members!

    MODS naomba msaada jinsi ya kulog in kwenye mobile fone katika jamiiforums.Kila nikiingiza username , ili niende kwenye password , ile username inafutika na hivyo nashindwa kuendelea kulog in. Ka mobile fone kana mtandao lakini. Msaada tafadhari.
Back
Top Bottom