Search results

  1. Alamasroad

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    Tshabalala GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!
  2. Alamasroad

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    Jamani me naomba URL ya ITV1 me sijaona hata kidogo
  3. Alamasroad

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    Leo niwazi africa bado tunakazi sna katiki huu mchezo wa mpira
  4. Alamasroad

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    Asante Mkuu SOUTH AFRICA MEXICO Possession South Africa 43% Mexico 57% Attempts on target South Africa 3 Mexico 7 Attempts off target South Africa 3 Mexico 4...
  5. Alamasroad

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    Msaaada waungwana wengine tupo kwa ofisi tusaidieni nasi tupate angalau kuona video za mache live naomba link au jina la sofware
  6. Alamasroad

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Wow!Mimi na wenzangu Mwaka juzi na Mwaka jana tulikuwa na Bahati ya kujua ni nani hawa jamaa tulikuwa na tamasha tunataka likiwa na lengo zuri sana kwa wasomi wa Tanzania na kuipa jamii mwanga wapi tulipo.Baadhi ya wakuu wa idara za Serikali walifiki kutuambia mambo ya ajabu. zaidi ya Wakuu 4 wa...
  7. Alamasroad

    Video: Jerry Muro apasua jipu la sakata lake la rushwa!

    Hamkumbuki hata Zombe aliwahi kusimama na kutangaza mbele ya vyombo vya habari kwamba WALIOUWA NI MAJAMBAZI NA WALIPAMBANA NA POLICE KWA SILAHA NA POLICE WALIFANIKIWA KUWAUA
  8. Alamasroad

    Video: Jerry Muro apasua jipu la sakata lake la rushwa!

    Jamani mtuhumiwa unatoa siri zake kweli kova kafulia sana Eti anamiliki kihalali na inatumia risasi kumi tu; kwahiyo anawaambia majambazi waende na risasi zaidi ya kumi ili akiishiwa wammalize. kweli kova umefulia unwezaje kutangaza silaha ya mtu anamiliki kihalali pia unataja hata aina ya...
  9. Alamasroad

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    jamani angalieni Jerry video michuzi blog utaanza jua ukweli uko wapi Chunguza mjomba utabaini?
  10. Alamasroad

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    jamani angalieni Jerry video michuzi blog utaanza jua ukweli uko wapi Chunguza mjomba utabaini?
  11. Alamasroad

    Video: Kova azungumzia sakata la Jerry Muro

    jamani angalieni Jerry video michuzi blog utaanza jua ukweli uko wapi Chunguza mjomba utabaini?
  12. Alamasroad

    My Vista Crashed..!

    Pole muungwana. Karibu kwetu tutakupa huduma zote kama ni kurekebisha komputa yako na data zote utapata mawasiliano 0718 265427
  13. Alamasroad

    Iwapi Ripoti ya Milipuko Kikosi 511 KJ Mbagala

    Kweli jamani hivi ripoti mnayo maana mimi binafsi sijapata fulsa kuiona au sikuwa na bahati mwaka sasa unakaribia kweli siamini kama inawezekana katika zama hizi. Mwenye ripoti hiyo naomba anisaidie ili nami niweze fahamu ni kipi kilijiri na kipi kilijiri. Ahsante
  14. Alamasroad

    Hivi kwa nini Wanaume wanalipia ngono?

    hahaha!!!!!!! FirstLady1 hii huwa ipo Automatic hata ukiwa home ukiguswa tu unageuka. wanasema chagua bega
  15. Alamasroad

    Rais wa Tanzania anachaguliwa na wananchi au anateuliwa na CCM?

    Duh! mshikaji Hongera Sana kwa kutukumbusha haya yapo kaka; usishangae mwekiti wa vijana kuwa Liziwani JK pia Raisi wa Zenji Mwana wa Mwinyi
  16. Alamasroad

    Sales Executive cum Driver needed

    Ok tunashukuru Mwenyesifa Changamkieni
  17. Alamasroad

    Accounting Software needed!!

    Ok nafikili Tally ni poa zaidi pia; Nadhani MyOB setting ipo ya Transaction kuwa Tzs ila setting hizo ni rahisi zaidi kwenye Tally ukiseti inakuwepo moja kwa moja.
  18. Alamasroad

    Mlinzi chini Ya Ulinzi (NAFUNGA MWAKA NA HESHIMA KWA POLICE)

    Dogo anajua sheria kuliko Dereva Daladala na Tax Tanzania Mlinzi chini Ya Ulinzi Njoo uwaone mbwa wa aina hii Msakuzi wanauzwa kwa bei poa
Back
Top Bottom