Search results

  1. KakaJambazi

    Loving you Mahondaw

    https://www.jiosaavn.com/lyrics/islands-in-the-stream-lyrics/KFtSXE1YZlg
  2. KakaJambazi

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Ambaye ametoa mimba zisizozidi ngapi?! Na hicho kigezo kimeaanza kusajiliwa.
  3. KakaJambazi

    Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Kwa iyo ushafikia ile ya "Ilmradi anapumua"?
  4. KakaJambazi

    Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

    Acha ujinga, demu wa kuoa huyo.
  5. KakaJambazi

    Serikali ya Tanzania yaanza mchakato wa kuunda Satelaiti yake

    SIDO au VETA ya mkoa gani ndio wamepewa tenda iyo?
  6. KakaJambazi

    Inakuaje TV moja ikaonyesha channel za visimbuzi tofauti?

    Kweli make yule mtumiaji, anakua anatumia namba tofauti na zile zinazotangazwa na wenye ving'amuzi vyao, mfano ITV unabonyeza namba 9, unaiona.
  7. KakaJambazi

    Sony na teknolojia ya S-Force Front Surround, Sound Pressure Horn

    Ungetaja na gadgets zenye hayo mavitu, tuzisaKe.
  8. KakaJambazi

    JBL 1300X Wireless Sound Bar Watts 1070

    Kwa iyo mkuu ni bora abaki na ya zamani? iyo yenye 200watts rms inaitwaje mkuu! naomba link.
  9. KakaJambazi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mwanaume unatumia neno "Fundenge"! marijali tumebaki wachache sana.
  10. KakaJambazi

    Ukweli unao paswa kuujua kuhusu inverter

    Inverter gani nzuri sizizopiga makelele?
  11. KakaJambazi

    Inakuaje TV moja ikaonyesha channel za visimbuzi tofauti?

    Mbona kuna taasisi kubwa naifahamu nao wanatumia huu mfumo! Siamini kama wanaiba pia au wanafanya Kwa vificho, make wanapokea wangeni wengi na wanalala humo.
  12. KakaJambazi

    Inakuaje TV moja ikaonyesha channel za visimbuzi tofauti?

    Mkuu ungewauliza wenye hotel wangekupa vender aliyefanya iyo kazi.
  13. KakaJambazi

    Ni ngumu Waislamu kuepuka mifumo ilionzishwa au inayohusiana na wakristo?

    Hata mavazi ya majaji na mahakimu, mavazi ya graduation etc
  14. KakaJambazi

    Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

    Mkuu kama hawa Xiaomi shop wameweka bei elekezi hizo, sidhani hawa tigo wanaweza uza pungufu ya laki 3 Kutoka bei elekezi.
Back
Top Bottom