Search results

  1. Heri lee

    Haji Manara: Wachambuzi wa michezo ni wanafiki na takataka

    acheni ulofa na uchochezi nyinyi mapimbi, kasema WACHAMBUZI WA SOKA si WAANDISHI wa SOKA..Wachambuzi wa soka bongo ni kama Mashabiki tuu...
  2. Heri lee

    Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma

    Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031. Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu anayeweza kuchukua yote kwa jumla. Au at least kuanzia heka moja huku wananunua matatu sh 1000...
  3. Heri lee

    Nauza mahindi mabichi, maalum kwa ajili ya kuchoma

    Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma.. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031, Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu anayeweza kuchukua yote kwa jumla, AU at least kuanzia heka moja..Huku wananunua matatu sh 1000...
  4. Heri lee

    Mablogger Wanaopiga Ads Company Ya Google AdSense

    hapana unafanya ku-enable tuu, kuna pahala pameandikwa enable unabofya hapo account inarudi fresh, upande wa juu kulia kwa adsense yako,
  5. Heri lee

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    naipataje hii free internet boss
  6. Heri lee

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    nahitaji hii naomba uniunge mkuu, njoo inbox tuyajenge mimi sina hiyo option
  7. Heri lee

    adsense account inahitajika

    mpya au verified au iliyotoa pesa,,, pesa ipo mfukoni.... karibu P.M.
  8. Heri lee

    Ligi mbovu ya Ufaransa na Italia ndio imepelekea mpira mbovu AFCON..

    Mothiba-South Africa, N. Pepe- Ivory Coast... Hawa ni mastaa wanaokimbiza kwa ufungaji Ufaransa League 1 hapa wanacheza uchafu maforward hawajafunga hata bao moja
  9. Heri lee

    Diamond Karanga zimeishia wapi?

    soko gumu mzee alipata hasara kubwa,,,, taarifa za ndani zinasema hivyo ..
  10. Heri lee

    Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    safi sana mtaalam kwa kutupa ujuzi... ivi ukitaka ugonjwa huu usiingie shambani unafanyaje
  11. Heri lee

    Dell Latitude D620

    UKO PANDE ZIPI ,,, NINAYO
  12. Heri lee

    AFCON 2019: Hatuna referee au msaidizi hata mmoja

    nigeria????????????????????????????????
  13. Heri lee

    Nahitaji Adsense Account Mpya(non hosted)

    zinahitajika mwa wingi bado
  14. Heri lee

    Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

    radio bila kingamuzi hazipatikani,,, i.e frequency za kwenye simu zetu na vi-radio vyetu vidogo
  15. Heri lee

    Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

    hata EA radio na Redio One hazipo kwa hewa..
Back
Top Bottom