Search results

  1. mundele

    Gari mazda mpv 2000 inauzwa

    Aliyekwambia gari inatolewa thermostant ni nani, nakushauri irudishie kwakuwa unaua hiyo gari.
  2. mundele

    Jay Dee Picture

    Jay dee ni jina la kisanii,ingekuwa zimeandikwa Judith Mbibo Wambura angalau,Buy Jay dee is not registerd name so anybody can use with no offence...
  3. mundele

    Solar lighting solutions in Tanzania

    Ningependa kupata ushauri kuhusu solar power,je naweza kurun AC(air condition)kwa kutumia Solar power? kama naweza je natakiwa niwe na solar ya ukubwa gani na itanigharimu bei gani kama ntaamua kudeal na nyinyi? Thank you.
  4. mundele

    Serikali yaamuru umeme upite Kanisa la Kakobe

    YADAI ASKOFU KAKOBE ALITUMIA VIPIMO AMBAVYO SI SAHIHI BAADA ya waumini kulinda majengo ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) kwa takribani siku 77, mpambano na vyombo vya dola sasa umeiva baada ya serikali kuliruhusu Shirika la Umeme (Tanesco) kuendelea na mradi wa...
  5. mundele

    Show rooms za magari Dar

    Showroom za magari ni kama biashara nyingine ilimradi magari yako usiyapaki ovyo nje ya uzio wako na kusababisha mtafauku kwa wapita njia...mkuu tukisema na baa zote zihamishiwe kibaha hiyo imekaaje?
  6. mundele

    Show rooms za magari Dar

    Ni kweli wafanyakazi wa serikali wanapewa msamaha wa kodi yani exemption lakini ni mara moja ndani ya miaka mitano.lakini ni ngumu sana kumuuzia mtu mwingine bila kumwambia kama hiyo gari iliingizwa nchini kwa msamaha wa kodi,kwa kuwa pindi atakapopeleka kadi ya gari TRA kutaka kubadilisha...
  7. mundele

    Show rooms za magari Dar

    Mi nafikiri tungewapongeza kwa kuwa wameweza kumshauri mnunuzi na kuridhika. kama mfanyabiashara utaweza kumake more than 100% profit,basi wewe ni succesful businesman na si wizi au utapeli kwakuwa biashara ni maelewano.
  8. mundele

    Show rooms za magari Dar

    Wachunguzwe nini? pahala walipopata mtaji au kama wamelipa kodi?
  9. mundele

    Show rooms za magari Dar

    Kwa mtazamo wangu naona ni biashara kama biashara nyingine kwakuwa kodi zote zinalipiwa kama inavyotakiwa.sioni tatizo lake kabisa. TUKURURU NA TRA wachunguze nini?
  10. mundele

    Mwenye HIV ajitangaze kwa wapenzi wake, vinginevyo Lupango?

    Nimekupata vizuri sana Mzee Mwanakijiji.ila tatizo kubwa tulilonalo Tanzania ni record na control ya watu wetu..kwakweli Serikari isipolitilia mkazo suala hili hatutapiga hatua yoyote kimaendeleo na itakuwa kama mchezo wa kuigiza. kwa mantiki hiyo basi,ni kweli watu wengi wanaitikia wito wa...
  11. mundele

    The best pick up line?

    90% of the girls they mustabate when they take shower, and the rest 10% they sing..do you know what they sing about?? Ahmmmm nope. hahahaha.... so it means you are among those 90%..? Nooooooo...you are soo funny. Am mundele by the way, am Jane...Should i join you? Sure... Thats my best...
  12. mundele

    Turkey, Tanzania sign deals of visa exemption & other trade ties

    watatusaidia kwa mambo mengi sana,kwakuwa wametuzidi sana kiuchumi na kimaendeleo kwahiyo mi nafikiri JK amepiga hatua nzuri.
  13. mundele

    KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!

    Duh mi huyo mama wa juu mwenye kigauni cheusi..uchokozi jamani utadhani mbuzi kagoma.
  14. mundele

    Before and After the marriege

  15. mundele

    Story behind your date of birth

    Je kati yenu nyinyi kuna anayeamini nyota??
  16. mundele

    Rostam anafaa kuwa Rais 2015

    "1-Imebainika kuwa shutuma zote zilizoelekezwa kwake ikiwemo ya Richmond ni Majungu na uwongo wa kipumbavu! 2-Ni msomi aliyebobea 3-Ana msimamo, na ana vision kubwa kwa taifa letu 4-Ana uchungu sana na hii nchi, na amezaliwa Igunga 5-He looked very smart(see the photo) and is a man of principle...
  17. mundele

    Suzuki escudo NOMADE inauzwa

    Nakuelewa pastor..kwa mwaka huo na pernaty uliyolipia hata bei yake kidogo inatakiwa iwe imechangamka. lakini 14m nyingi mkuu angalau 9m ningekuelewa vizuri sana yani hapo ungerudisha hela yako na faida ya kutosha.
  18. mundele

    Natafuta santuri za jackie wilson

    Nenda internet cafe mpe mtu kazi akudownloadie...au na uwezo wa cafe huna bado unataka used?
  19. mundele

    Safari katika Afrika

    Viza haina shaka,ukifika boarder tu dola 50 unapata viza yako ya miezi mitatu bila hongo wala fedha ya ziada na pindi ukiwa Tanzania unaweza ukachukua kabisa visa(Entry) ya Sudan kwakuwa nao wanavisheria vya kijinga kutokana na machafuko ya mara kwa mara..lakini kama una passport ya kikimbizi...
  20. mundele

    Msemakweli kasema ukweli kuhusu mafisadi wa elimu?

    upuuzi mtupu,ukiona mtu amejitoa muhanga kiasi hicho basi ujue ushahidi anao,hakukuwa na sababu ya kuweka ushahidi kwenye kitabu hicho.kama ameweza kuwataja majina basi waliotajwa kama wataona wamedhalilishwa waende mahakamani full stop. eti "tunasikia raha wakubwa wanapodhalilishwa..."tuondolee...
Back
Top Bottom