Search results

  1. G

    Amechoka kutendwa anahitaji mume

    a u serious mdada? make siku hizi wadada mkisha choka kutembeza bakuli, mnatafuta watu waliotulia wakati nyie hamjatulia!. inauma sana, kila la kheri
  2. G

    Nimepata Msiba WanaJF

    pole sana kwa msiba wa babu yetu! what we have to know is that all human beings we are under the ownership of GOD and he can take us anytime! take courage bro
  3. G

    Nimepata Msiba WanaJF

    pole sana kwa msiba wa babu yetu! what we have to know is that all human beings we are under the ownership of GOD and he can take us anytime! take courage bro
  4. G

    Mkanganyiko katika Gharama za Vocha za Simu

    Mi jana jioni nimeenda kununua tiGO nusu sehemu ambayo huwa nanunua 500 tu wakaniambia gharama zimepanda akaniambia muuzaji nichukue ila baadae nimpelekea hamsin yake, mi nkafikri ananizuga! inawezekana ni kweli mtu wangu wmaepandisha!
  5. G

    Paul Kagame: An African role model?

    Nakosa cha kusema! make mkuu data ulizota zinaonesha ni jinsi gani una uchungu na maisha ya walala hoi wa nchi hii in real sense we need people like you! sio kwamba nakupaka kilemba cha ukoka ila ukweli ni kweli umenikuna nikiwa kama mzarendo na mtu ninayependa maendeleo ya nchi yangu na...
  6. G

    Wazazi kuweni chunguzeni watoto wenu...

    Mkuu hiyo ni hatari!!!! inabidi uchunguzi ufanyike make hii itapelekea kuwa na watu mashoga kwenye jamii yetu
  7. G

    Waziri Mkulo na matusi kwa mtangazaji wa redio

    Hafai kuwakilisha dhana ya utawala bora akiwa kama kiongozi aliyepewa jukumu la kutetea wananchi walio maskini! Hili ni tatizo la nchi yetu la kulinda watu wasio safi hata pale wanapoonekana wazi kukiuka maadili ya utumishi wa umma hawakuchukuliwi hatua! Kisa wanamtandao au wanaccm.kweli bora...
  8. G

    Viongozi wa DECI wapelekwa rumande

    Sasa sirikali wafanye kazi ya kurudisha mafungu ya wafuja jasho wenzetu, inauma sana mjomba kuona hera zetu zinaliwa kiurahisi 2 kwa mchezo haram wa upatu! Lakin mi naona tatizo ni la hii hii sirikali, make wameshindwa kuwaletea wananchi maisha bora na kutafuta minubu mbadara wa kuwaondoa kwenye...
  9. G

    Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

    we must be very careful with people! mambo ya mapenz ndo yanaongoza kwa matukio ya vifo vya watu wengi. kaharibu future ya m2 na yeye mwenyewe! KWA NIABA YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA 2NATOA POLE KWA WAFIWA WOTE
Back
Top Bottom