Search results

  1. V

    Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

    Punguza hasira mkuu ili uweze kuandika kitu kinachoeleweka!! Kitu kidogo huwa unajaa upepo sana aisee.
  2. V

    Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

    Mkuu ungekua na akili usingejificha kwa kutumia id! CDM ni chama cha siasa kama vingine, kuwataka wadhihirishe ukweli ili wewe usiondoke imenitisha kidogo!!
  3. V

    Muswada kurudishwa bungeni

    Kama hii hoja ni ya ukweli, basi JK anastahili pongezi. Na katika hili alikua na haki ya kusaini ule mkataba wa uwazi waliosaini huko NY. Katiba ni ya Watanzania, sio ya Chama chochote! Inatakiwa busara ya hali ya juu hasa tunapoamua mambo yenye kuhusu Watanzania. Heko JK, kwa hili unastaili...
  4. V

    Picha:Mwigulu aagwa kwa shangwe San Francisco,kutua Chicago leo

    Wakati mwingine tuwe serious!! Yaani Mwigulu anaandaliwa kuwa raisi Tanzania kisha anaenda kufanyia mipango US na UK??!! Kuna uhusiano gani!! Watanzania tutumie akili zetu hata kwa 1% tu, itatusaidia sana! Naamini kama huu ndo mkakati wa kumtambulisha eti US na UK, ili apate exposure basi CCM...
  5. V

    Tanzania, Burundi waachwa tena katika mazungumzo ya kuwa na Visa Moja!

    Kagame ni Nduli kiliko hata IDD AMIN aisee!!! Kaamua kuitupilia mbali EAC?? Jamaa kweli kwikwi!!! Tanzania tuamue tu kujitoa tuendelee na mambo yetu na tuelekeze nguvu zetu SADC.
  6. V

    Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

    Kwa mtazamo huu, ina maana Muhongo anaamini kuwa swala la kuwashirikisha wazawa kwenye ishu ya madini na gas ni kupoteza muda wake!! Fine, lakini hata kupata ushauri wa bunge kuna tatizo gani?? Manake wabunge wanaamini kwenye mikataba kuna tatizo na Muhongo analijua hilo. Kauli yake kwamba...
  7. V

    Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

    Mkuu uko vizuri kwa kujibu mashambulizi ya wachangiaji! Tuelezane ukweli, simwamini Muhongo wala Mengi. Ila kuna swali la kujiuliza hapa, "Ni kwanini Muhongo alizuia ugawaji wa vitalu kwa madai kwamba mikataba haina maslahi kwa Watanzania, lakini Muhongo huyo huyo akarudia sheria zile zile...
  8. V

    Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

    Hebu tudhibitishie kuwa ni majungu kaka/dada. Ingekuwa vizuri kwa kumpinga mleta maada kuwa alichoandika sio kweli na ukweli unao wewe na uuweke hapa. Umejibu kama Wabunge wako!!!!
  9. V

    Vurugu za jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta Hatari Kuliko Spika Anne Makinda!.

    HAMY-D, naona ungesema kwamba bunge linaendesha kwa matakwa ya spika au naibu. Bungeni wabunge wanatetea maslahi ya Nchi na sio maslahi ya wachache. Nafikiri Ndugai amekosa "ethics" na nashawishika kuamini kwamba hazijui hata kanuni unazosema ndizo zinazoliongoza bunge!! Ni mtazamo tu...
  10. V

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Wadau naomba kujuzwa, Kigwangala ana Phd ya fani gani?? Au ni mtaalam wa mambo gani??. Naomba mwenye CV yake atuwekee hapa jamvini.
  11. V

    Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya, Wamo CCM na CHADEMA

    Hongera dr! Na wewe umeingia kwenye list ya wenye list mbali za wauza sembe, mafisadi, wezi wa EPA. n.k. Kwa ushauri, endeleeni kukaa na hizo list. It has nothing to do with us!!!
  12. V

    Uganda yatangaza kufanyia marekebisho njia ya umeme hadi Kagera!

    Mleta mada atakua kakosea, sio miezi 40. Nina wasiwasi coz nahisi ilitangazwa wiki 40 ambazo kama sijakosea ni miezi 10 net!
  13. V

    Sipo hapa kuitetea CHADEMA - Baregu

    Prof yupo sahihi. Na sio vizuri kuitetea CDM. Ameteuliwa kuandaa katiba ya JMT na sio ya CDM. Wajumbe wengine nao ingekua vizuri kama wangejitambua kama prof!!
  14. V

    mzaha mzaha hutumbua usaha...

    Ha ha ha ha....! Chonde chonde mkuu, kama ur the right one, please msikilize. Ndo tumeambiwa tukae nao kwa akili!! Ila we ni mkaliiii...!!
  15. V

    TTWB hawa jamaa wapo kweli

    Swali la kizushi mkuu, "wanapata faida gani"???
  16. V

    Mayrose, Lilian Wasira Watikisa CCM

    Good observation.
  17. V

    Mayrose, Lilian Wasira Watikisa CCM

    Ha ha ha ha.....! Kwa huu mkwara Mwigulu awe tu mpole
  18. V

    Nape na kundi lake kumtoa KAFARA Lowassa,CHADEMA tusikubali kunasa ktk Mtego huu!!

    Mkuu sasa unakosea!!, kwa uelewa wako kumjibu huyu ni kujishusha kiakili ili ufanane nae. Hangaika na hoja yako kwa wale wenye nia ya kukuelewa na sio hawa wasiojua ulichoandika. Utapoteza muda wako bure. Sioni shida kwenye huu uzi.
  19. V

    Wosia huu watanzania tulimuelewa Mwalimu JK alikuwa na maana gani?

    Mkuu hakuna anaewaabudu wafu!! Kauli za wanafalsafa zina mashiko kwa maisha yetu na ya vizazi vijavyo. Naamini hata kwako kauli za akina Aristotle, Plato, Socrates, Yesu, n.k unazitumia kwenye maisha yako! Hapo nawe unaabudu wafu?? Kauli za wanafalsafa zitabaki kuwa "positive" until further...
Back
Top Bottom