Search results

  1. O

    Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar

    mode atafanya kazi ngapi jamani??unafikiri aoni hii thread!!@@@ msijiongezee vyeo visivyowahusu JF...ana busara zake ndio maana amekaa kmya akudo
  2. O

    Masha apewa live; wezi wako ofisini kwako!!!

    mi nilimdharau siku nimepand nae ndege anarudi toka mwanza akawa aanaseviwa yeye tu mmh nikauliza jamaa yangu akaniambia yule mfanyakazi wa ndege ndio bibi yake mdogo...alimlewesha wakati tunatua naona wakampa nafasi ya kuanza kushuka kucheki kama yuko fit kutembea am lah hamad alifika salama...
  3. O

    Mshtakiwa akimbia uchi mahakamani

    Naasikia alikuwa ana antena ndefu si mchezo wanawake walikuwa awamkimbii kwa kuwa uchi ila antena ilikuwa ikiwakimbiza si mchezo
  4. O

    Husein Yahaya: Hakuna uchaguzi mwaka huu!

    mbona ajawahi kutabiri kumegewa mkewe kale cheupe chake!!! ama mpaka wamwage radhi watu hadharan ndio atatabiri tushamchoka na yeye!!!!Asubiri kwenda kusali kwa GWAJIMA UFUFUO NA UZIMA
  5. O

    Wizi wa kura;ccm yatia aibu kimara-serikali za mitaa

    Ulitaka niandike kama barua ya kuomba uchumba ccm......???
  6. O

    Wizi wa kura;ccm yatia aibu kimara-serikali za mitaa

    waache wafu wazike wafu wao....
  7. O

    Stanbic bank yazuia mishara ya ATCL

    Hawa majambazi dawa yao ni kuwafilisi ama wasiwepo kabisa duniani ona watu 15 wanasababisha watu 200 na kukosa mshahara ushenzi mtupu
  8. O

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Kwa hiyo unakubaliana na mzee malecela kuwa mama simba akapimwe akili kule mirembe, right? JAMANI WASISAHAU NA UTI WA MGONGO...WAKATI MWINGINE UTI WA MGONGO UNAKUFANYA KUCHWA KUWA ABNORMAL....WASIACHE HILO MSHAURI
  9. O

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Wana ndugu nimesoma gazeti la tanzania daima leo nimeshtuka sana baada ya kupaata mfadhaiko yale yaliokuwa ndani mwake pale mama sophia simba waziri wetu tunaemtegemea kwenye uongozi bora anaposema hakuna asie fisadi kwenye chama cha majambazi...hakika najuta kupigiia kura shishiem...
  10. O

    Mtoto wa Membe ahamishwa ofisi asipoteze ajira

    .Hivi mnataka hawa vijana wahamie somalia au? AMA WEWE KWANZA
  11. O

    Cotwu(t) taifa wataka atcl ifilisiwe

    Wakati zoezi la upunguzwaji wa wafanyakazi ATCL likiendelea habari zilizotufikia hivi punde zinasema wakati majadiliao yakiwa yanafikia mwisho kumezuka mjadala mwingine na huku wengine wakitaka kampuni kufilisiwa Wakiongea kwa uchungu baadhi ya wafanyakazi wazee kwa vijana waliokuwa na...
  12. O

    Good news kwa mashabiki wa yanga

    Boban kuikosa Yanga, atimkia Sweden Clara Alphonce KIUNGO wa Simba, Haruna Moshi 'Boban' kwa mara ya kwanza anaikosa mechi ya Yanga baada ya kuondoka jana kwenda Sweden kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa...
  13. O

    Hongera mh Anne Kilango Malecela

    masanilo ugomvi huo sisi bado ajarekebisha barabara ..asije tusahau kabisa nasikia ndio anashikilia kapu la ha-zinaa
  14. O

    Hongereni wana karatu kwa kumtendea haki Dk silaa

    m gona be the second to congratulate wanaKaratu-------hii inaonyesha kuwa kweli karatu kuna hisia za Mageuzi ya kweli. Napata hasira sana napoona bado Watanzania wengine hawajaamka na bado wapo kwenye lindi la usingizi mzito. Jamani tuna matatizo gani? angalia sasa Tanzania eti hakuna umeme...
  15. O

    Hongera mh Anne Kilango Malecela

    aah, hizi za out cooursework wanafanyiwa na watu, anyway congarats ZOTE DEGREE CAMEL
  16. O

    Hongera mh Anne Kilango Malecela

    is the damn thread that much political? ACHENI UNAFIKI..TUMWASHAMBULIA WABUNGE VIHIYO HAPA HAKUNA NENO KAMA HILO ULILOANDIKA..LEOO HII KUMPONGEZA MTU TAABU KWELI KWELI BASI HONGERA MAHANGA LUKUVI NAGU M ...UNGETUSAIDIA ZAIDI KUTULETEA MATOKEO YA HAO HAPO JUU WALIPOCHUKULIA DK ZAO KAMA...
  17. O

    Hongera mh Anne Kilango Malecela

    THE DEGREE OF BACHELOR OF COMMERCE (B.COM) Na. JINA Reg. No. JINSIA MKOA 1 Agness Dominick Kimoi 22584/T.06 KE D'SALAAM 2 Aisha Maggid Nyasama 18882/T.05 KE D'SALAAM 3 Amos Eshiwakwe 11020/T.03 ME D'SALAAM...
  18. O

    Hongereni wana karatu kwa kumtendea haki Dk silaa

    Sina budi kuwashukuru wote waliopiga kura karatu na sehemu nyingine zote ambazo CCM IMESHINDWA KTK SERIKALI ZA MITAA SHUKRANI ZA PEKEE ZIWAENDEE WOTE WALIOSHIRIKI KA TIKA UCHAGUZI PALE KARATU HAKIKA SINA CHA KUSEMA ZAIDI YA KUSEMA ""MMEM,TENDEA HAKI""MBUNGE WENU...KWA WALE OTE MNAOSOMA HIVI...
  19. O

    Hongera mh Anne Kilango Malecela

    Mnamo majira ya saa tisa kamili pale kibaha tar 31 oct MAMA YETU KIPENZI MH SANA MBUNGE ANNE MALECELA.K ANATARAJIA KUPATA DEGREE YAKE YA BCOM.....UKIWA KAMA MCHUKIA UFISADI MUADIILIFU WA UMMA...MPENDA WAPIGANAJI , MCHUKIA DEGREE FEKI DUNIANI HATUNA BUDI KUPMONGEZA MAMA YETU KWA HATUA HII...
Back
Top Bottom