Search results

  1. W

    NIMR watangaza nafasi ya kazi, muombaji kaishalipiwa visa ya US safari ya kikazi

    Taasisi ya NIMR hivi karibuni kupitia mtandao wa Zoom walitangaza nafasi ya Financial Analyst kwa ajili ya kituo cha Mbeya. Muombaji mmoja wa nafasi hiyo Bwana Damson Lwiva ambaye kwa sasa yuko Mwanza akifanya kazi na taasisi fulani (jina kapuni) tayari amekwisha ombewa visa kwa safari ya kikazi...
  2. W

    Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

    Nami natamani kufahamu CV ya huyu bwana. Dr. Kwa Kuwa anatibu kama Matunge au ni real MD?
  3. W

    Lowassa kusimamisha Kigamboni, Mbagala na Ukonga kesho

    Mbona hatupati updates jamani? Hivi hakuna kituo chochote cha TV kitakachorusha mkutano wa mchana???
  4. W

    Samia: Serikali ya Dk. Magufuli itanunua meli tano

    Hii siyo nchi ya Wadanganyika tena. Mwaka 2010 Kikwete aliahidi kununua meli kwa kila ziwa. Leo hii anaondoka madarakani hajanunua hata meli Moja. Kweli CCM ni ile ile ooh ni ile ile.... Lazima tuwaondoe Hawa wadanganyifu mwaka huu.
  5. W

    Kipindi cha magazetini Radio Free Africa, hawapo serious

    Nafikiri technical team ni weak interms of skills, owners hawasikilizaji utumbo huu sasa madhara tunayapata sisi wasikilizaji. Nimeamua ku stick channel Ten.
  6. W

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Kweli ukizoea kula nyama ya mtu, huwezi acha.
  7. W

    Prof. Kikwete aenda Marekani

    Prof wa China anakwenda US kwa matibabu. Hapo juu ni shimo la Dari ya VIP lounge airport. Na kuzurura kote hakuna alichowahi kujifunza. Airport yetu chafu na mbeya kuliko zote duniani, inavuja mpaka aibu rangi zimefubaa utafikiri unaingia jikoni.
  8. W

    Baada ya Ujenzi wa Maabara, Jiandae na ujenzi wa Meli

    Katika Hali inayo dhihirisha ya Kuwa serikali yetu imenuia kuleta matokeo makubwa sasa, ili ahadi zake lukuki zisizotekelezeka angalau zitimie ki- magumashi, tumelazimishwa kuchangia ujenzi wa kile wanachokiita Maabara. Katika zoezi hili linaloendelea serikali haijatoa pesa na ninaamini haitatia...
  9. W

    Picha: Rais Kikwete akiwa na rais Uhuru walipo kutana uwanja wa kimataifa Dubai

    Kweli aisee!! Nafuu hata wangebadilishana sox na Uhuru..
  10. W

    Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    Sasa hizo nyumba nne zinahusianaje na gari? Acha kutuletea Ushamba hapa jukwaani. Peleka kwenye glob za watoto wenzako
  11. W

    Polisi Wavamia Masafara na Kupora Maiti ya Kiongozi wa CHADEMA Mbeya

    Dakika chache zilizopita polisi wamevamia msafara wa wafuasi wa chadema waliokuwa wametoka kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari ya hospitali ya rufaa ya Mbeya ambaye inasemekana Alifia magereza. Wafuasi hao walikuwa wakiimba nyimbo za kimapunduzi na pambio za kanisani. Walipofika usawa wa...
  12. W

    Kwa mara ya kwanza, ndege ya Fastjet kurushwa na marubani Watanzania

    Ni baba yake. Thanks God hakwenda upolisi.
  13. W

    Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

    Ushamba wa walimu bwana,... Hapo mbeya Kwenye Kiwanis cha Saruji Songwe kuna lift mbili ziko tangia mwaka 1983 mpaka Leo hii. Hawa ndo tunawapa watoto wetu watufundishie???
  14. W

    ( Photos ) 10 Most Beautiful Female Radio Presenters In Tanzania

    Some of them Yes, but others No! Nafikiri ulitaka ku share pics za Hawa watu na wanajamvi. Thanks, tumewafahamu.
  15. W

    Mh. Silinde na Mh. Lusinde: Mlima na kichuguu katika ufahamu

    Asubuhi ya leo nilichukua dakika chache kusikiliza na kutizama TBC kipindi cha Mahojiano na wabunge Dodoma. Waliongea haya: 1. Nini wamefanya kama wabunge: (Silinde)kachimba visima kwa fedha zake za posho ya ubunge 40 Ml, kachangiwa na wananchi 28 ml. Hiyo ni Tunduma mjini. Kwa vijijini kwa...
  16. W

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Ninaamini leo tutavuka hiki kihunzi, hata kwa sare. Timu yetu imezidi kuimarika kwa siku hizi za karibuni
Back
Top Bottom