Search results

  1. M

    Faida na Hasara za Uwakala wa MaxMalipo na ButtonPay

    Naomba kama wana chart yao ya commission. Je, malipo ya Serkali kama traffic notification yamekaaje?
  2. M

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu wa Wizara

    magufuli, mwakyembe na mukandara?
  3. M

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu wa Wizara

    Mimi nilisikia ni kama Mtendaji Mkuu
  4. M

    guest nyengine bwana......

    makubwa!kwa hiyo ukiingia guest house ni kazi moja tu!kwani mkiwa safarini lazima mpate wa kuduu nae?
  5. M

    Miaka 50 ya uhuru na viongozi wetu

    kazi kweli kweli!na suti ni lazima akachague sasa akikaa hapa nani atamchagulia?
  6. M

    Nimechanganyikiwa, sikujua kama mwisho utakuwa hivi

    I like this comment lol!mdada unauonaje huo ushauri?sometimes watoto watakusumbua ukajuta kwa nini ulimuacha baba yao. Amua kuishi nae mzungu wa nne na usifuatilie mambo yake hayo ni mapito atajirudi na utabaki unahadithia
  7. M

    kulala hivi inawezekana?

    'Nchi nyingi za Ulaya na Amerika ya Kusini ni kawaida kwa mwanaume kulala chumba kingine na mwanamke kulala chumba Kingine. Jee kibongo bongo inawezekana (kama mna nyumba kubwa) mwanamke kulala chumba tofauti na mumewe? Inaswihii jamani!!?? ' Mbona tunaenda nje ya topic?kulala vyumba tofauti...
  8. M

    MCHUMBA Vs H.I.V

    pole sana kaka mimi namwonaga nandipa wa isidingo ana relationship na wanaonyesha wanatumia institutions zenye kutoa directions za kitaalam. Inaonyesha kuna organizations ambazo zinatoa ushauri jaribu kuingia kwenye website yao unaweza ukakuta address za wataalam. Otherwise, jaribu kutembelea...
  9. M

    Q Chief ana uhusiano gani na wezi wa magari?

    Mbona MC walidai wameshafunga CCTV cameras? Au walikuwa wanajikosha tu? Thubutu uingie usichukue kadi getini 5,000 inakutoka hivihivi! Nakuomba uliyepata mkasa huu piga simu ya polisi waliyoiweka hewani halafu uendeleze uchunguzi kama polisi watafanya nini utujuze. Afu pia kwanini hukufanya...
  10. M

    Kuitwa kwenye usaili

    Jmani sio www.pmolarg.go.tz bali ni www.pmoralg.go.tz aliyepost nina uhakika ni mtumishi wa umma basi awe mwangalifu tu!
  11. M

    Kilichonikera Miss Tanzania

    VODACOM TZ wanajidai kutoa rambirambi kwa wahanga wa Z'bar hivi tuwaeleweje?au hizo 100,000 walishindwa kuzivumilia wakashindwa kuahirisha shindano uchwara?usanii mtupu hakukuwa na kipya sanasana inazidi kutoa washindi ambao tuna wasiwasi na uwezo wao wa kucompete miss world
  12. M

    Safari za wanaume kuelekea nyumba ndogo zinavyoanza…….!

    lakini yataka moyo si kidogo!kuogopa kupigania kilicho chako is it easy na sisi ni binadamu? Nakubali hata wake wanachangia kumshawishi mume kutafuta pumziko. Shida ni kitchen party zisivyo na tija katika kumuandaa binti.
  13. M

    Hii Ni Heshima kwa wakwe Au Nini???

    kama nyumba kubwa alivyotujuza ni mila tu kwani hamjui kuna kabila baba mkwe akiwa sebuleni mkeo haingii hata kumsalimia watasalimiana nje!
  14. M

    Kha..! Nyie BAKWATA kulikoni..?

    Hapo umetuboa!no sense na uwatake radhi wakristo kama waislamu wana matatizo yao ni high time ya kuyashughulikia si kusingizia wasiokuwemo Kwanza kiongozi wa nchi mwenyewe muislamu na kazi yake siku hizi ni kufuturisha, mfumo kristo kivipi?
  15. M

    Height is nothing but a number

    Du yaani naimagine wakati wa shughuli inakuwaje!
  16. M

    Bibi harusi ajifungua kanisani

    lakini G-Crisis si umesoma kwamba alijifungua njiti?hapo wa kulaumiwa ni hao waliomshauri aende kanisani hivyo hivyo na uchungu wake kwa kisingizio kwamba ana woga
Back
Top Bottom