Search results

  1. DJ NYUKI

    Kutoka Bungeni: Juma Nkamia ataka uchaguzi wa Rais ufanyike kila baada ya miaka 7

    Wana jibembeleza kwa mkuu.!![emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. DJ NYUKI

    Prof. Kitila Mkumbo amjia juu Julius Mtatiro kutumika kuivuruga CUF

    Sasa lipumba wa nini kwa sasa? Wakati alisema anataka kuwa mwanachama wa kawaida?[emoji14] [emoji57]
  3. DJ NYUKI

    Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

    Sijui atasema tena katiba pendekezwa Haifa!
  4. DJ NYUKI

    CHADEMA msipokuwa makini jamii itawachoka

    [emoji111] viva
  5. DJ NYUKI

    Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    Kama chenge hata fungwa basi hiyo mahakama siyo huru!
  6. DJ NYUKI

    Wabunge CCM, hamkuona zaidi ya Chenge au mlipoteza fahamu?

    Yule nyoka wa makengeza (chenge) inaonekana ni MTU hatari sana kwenye hii nchi.
  7. DJ NYUKI

    Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Akitangaza matokeo hayo mkurugenzi Wa manspaa ya iringa. Msigwa wa chadema kapata kura 43,154 huku mwakalebela Wa ccm akipata kura 32,406 akifuatiwa na chiku abwao Wa Act akipata kura 411.
  8. DJ NYUKI

    Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    TBC na star TV wataonesha
  9. DJ NYUKI

    Hoja za kutujibu Rais Kikwete kabla ya kuondoka madarakani

    Ndugu Wa na JF Nimeona nijikite kwenye mambo ambayo mh. Jakaya Mrisho Kikwete inabidi kabla ya kuondoka madarakani atuambie wananchi kuwa alifikiwa... (1) Dhana ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA iliishia wapi? Mbona watanzania bado hali ngumu! (2) Alituambia kuwa anawajua watu wanaouza na...
  10. DJ NYUKI

    Mkutano wa Mgombea ubunge Iringa Mjini, Chiku Abwao

    Siyo propaganda ni ukweli huo!
  11. DJ NYUKI

    Mkutano wa Mgombea ubunge Iringa Mjini, Chiku Abwao

    Hapo kafanyia stend kuu iringa.
  12. DJ NYUKI

    Mkutano wa Mgombea ubunge Iringa Mjini, Chiku Abwao

    Isimani alimwogopa sosopi kule kaja kupambana na MSIGWA!
  13. DJ NYUKI

    Mkutano wa Mgombea ubunge Iringa Mjini, Chiku Abwao

    Chiku abwao na wewe kwani hamfahamu? Alikuwa mbunge viti maalumu kwa chadema.
Back
Top Bottom