Search results

  1. I

    Namtafuta Makusaro

    Naona umekosea huyu MAKUSARO ni mwanaume anaitwa MAKUSARO TEMBA ni mzaliwa wa kijiji cha MWASI KASKAZINI, URU KISHIMUNDU, na kata ya URU MASHARIKI kwa sasa hana dili lolote anafanya kazi nyumbani kwa mshikaji mmoja hapo Kishimundu.Bwana Makusaro hana contact zozote labda uache za kwako kuna mtu...
  2. I

    Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

    Binadamu wote ni sawa hivyo kila mmoja anahaki ya kutongonzwa na kutongoza bila kujali jinsi ondoa fikra za hizo
  3. I

    Mke wa mtu.

    Si tabia njema kwa pande zote ingekuwa mimi ninauwezo wa kuwavimbisha TUMBO watu wa aina hiyo ningemvimbisha na huyo mwanamke.
  4. I

    Namtafuta Hadija Shabani Malika

    Simjui bwana pole. Weka picha yake tukusaidie
  5. I

    Bash La Mwaka NYC: Wakulu Tukutane Huko

    Wazee vipi huko Ikulu ya Dodoma kuna nini? mbona kimya nasikia kideo cha mzee kimebebwa na vibaka
  6. I

    Msaada: Ndoa bila idhini ya wazazi inawezekana?

    Hakuna ndoa isiyokuwa na baraka za wazazi ikadumu kuwa serious man
  7. I

    Kunyoa kwapa?

    Ni bora kunyoa maana watuwengine huingia ******* hivyo watashindwa kwa kuogopa uchafu au zinaweza kuwaingia kwenye meno na baadaye tumboni au zikakwama kwenye koo na akapata kansa ni bora kunyoa kabisa
  8. I

    Kunyoa kwapa?

    Watu wengine huingia------hivyo zikiwa kubwa watashindwa au zitabaki kwenye meno wapate kansa ni bora kunyoa na kuwa kipara kabisa
  9. I

    Mwanaume apigwa na mkewe

    Mwanamke naye ni binadamu ananguvu,akili hivyo siyo kila mwanamke hupigwa na mumewe.
  10. I

    Massage Saloon (Massage Parlour)

    Mimi naona huo ni mchezo mbaya tu
  11. I

    Je ni kweli ndoa inaongeza urefu wa maisha?

    Maisha ya ndoa yanafupisha sana maisha
  12. I

    Mengi awaponda wanaomwandama

    Tuwe makini na taarifa au mada tunazozitoa ili kulinda heshima za watu wengine au mnataka kusema hayo yote mliyosema yanamaadili.Lete mada vizuri tuchangie.Tusiwachonganishe watu.Hata kama ni rafiki yake mkuu kuna tatizo gani?au na ninyi mafisadi papa?
  13. I

    Wapi nitapata Mbwa wa kufuga?

    Mazee nenda pale police dog section wape dili wale jamaa wanaweza kukufanyia mpango ukapata wakali kama wa mzee
  14. I

    Gari inauzwa toyota chaser

    Mzee tayari umeuza mbona kimya nasubiri coll yako
  15. I

    Gari inauzwa toyota chaser

    Kama hujapata mteja mpaka sasa nipigie kwenye 0718844824 tufanye biashara
  16. I

    Gari inauzwa toyota chaser

    Hiyo gari inatatizo lolote
  17. I

    Manji ni mmiliki wa Jengo jipya la Clouds Entertaiment?

    Ila naona huyu Manji kwa sasa hatufai tena kwani yeye Kisutu hana vigezo vya kupelekwa ili tufanye mambo mengine?
  18. I

    Manji ni mmiliki wa Jengo jipya la Clouds Entertaiment?

    Tukitaka kupata ukweli wa mambo lazima tuondoe kwanza tofauti zetu then tujadili halafu tuwerealistic
  19. I

    Manji ni mmiliki wa Jengo jipya la Clouds Entertaiment?

    Kwani huyo Manji amekuwa nani kila kitu yeye hebu anayejua vizuri facts zake atueleze vizuri
  20. I

    Majina ya katikati ya kizungu ya Wachagga!

    Jamani nimesikia televisheni ya Ikulu tena ya bwana mkubwa huko Ikulu dodoma imepitiwa na vibaka vipi ndugu zangu kuna ukweli wa hilo
Back
Top Bottom