Search results

  1. J

    Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

    Asante Ijabu kwa ufafanuzi, maana mkeka huu ulivyoandikwa ni msururu wa lawama tu zisizo na ushahidi. Ndo maana wengine tumepunguza sana interest hapa kitokana na porojo za kisiasa na uchimvi tu. Mwakyembe kafanyakazi Bwana! Amefufua sekta iloyokuwa ICU! Amekomesha wizi bandarini! Semeni na hayo...
  2. J

    Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

    \ Hapa brother au sister hujachangia anything intellectual au meaningful, unacheza tu na majina badala ya issues! Ama kweli level ya interactions ya JF imeshuka sana!
  3. J

    Nape Nnauye nae kaibukia kanisa la ufufuo na uzima......

    Mbona thread hii ni ya kijinga? Nape ni Mkristo, mlitaka aende msikiti gani au aende jamatini? Hivi tumefikia mahali ambapo viongozi hawatakiwi kwenda kusali? Kila kanisa linajisikia fahari kiongozi akiwepo na mara zote hutoa nafasi kwa viongozi ya kusalimia. Mnataka viongozi wakatae kuongea ili...
  4. J

    Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

    MWONGO MKUBWA! Kwa sababu wewe ni mpenda pesa tena pesa ndogodogo, ili kueleza haya unayoeleza, umepewa shilingi ngapi?
  5. J

    Wizara ya Afya yamruka Manumba, wahoji alikoipata ripoti ya Mwakyembe!

    What exactly is your interest? Unataka kumwokoa Manumba ili umlaumu kanjanja? Kaa kimya tu bro!
  6. J

    Wizara ya Afya yamruka Manumba, wahoji alikoipata ripoti ya Mwakyembe!

    Kwani tatizo lako hapa ni nini? Kwamba Tanzania Daima ni gazeti la propaganda la Chadema? Mbona this is obvious: Tanzania Daima ni chombo cha propaganda cha CHADEMA kama lilivyo gazeti la Uhuru kwa CCM. Period!
  7. J

    Sitta: Polisi wana ushahidi Mwakyembe kupewa sumu

    Unadhani akishawaambia hao walalahoi wa Kyela sumu aliyopewa itaisha na IGP Mwema ataacha kupokea maelekezo kutoka kwa Manywele?
  8. J

    Lissu kumjibu Nape kesho

    Anatumia ipad2 kuwasiliana na wapiga kura wake wote ambao keshawagawia iPad1 zenye programs za Kinyiramba, Kirangi na Kinyaturu. Mwezi huu anamalizia kusimika super computer kwa ajili ya shule zake zote za msingi na sekondari na ameingia mkataba na MOWLEM Construction Company kujenga vyoo na...
  9. J

    Edward Lowassa; Nilikutabiria na Imekuwa Kweli!, Nitabiri Tena?

    Lowassa is a closed chapter. Mwangalie tu - kachoooka, ndani na nje!
  10. J

    January Makamba: Mbunge wa aina yake

    Pia kawaachia wananchi contact za maswahiba wafuatao: Rostam, EL, Vijisenti, Yusufu Manji, Makamba Sr., Mwamvita, Serukamba, Komba, Millya,Makongoro na Mama Januari. Kwa kweli anafaa sana!
  11. J

    Kifo cha Gadafi:Serikali ya JK kutuma pongezi au rambi rambi?

    Ushauri wa bure kwa Membe. Ili kufuta kauli yake ya awali, aende Tripoli kuwatambua waasi kwa Pick-up.
  12. J

    Nini mantiki ya Lowassa kuitisha mkutano na waandishi wa habari?

    umepiga ndipo! Mwenye tatizo hapa la kuficha uchi ni lowassa! Longa lowassa longa kama wewe mwanasiasa mkweli! Sina shaka utalipua fataki za sitta na mwakyembe. Ukikaa kimya na porojo za "hatukukutana barabarani", tutajua unaogopa missiles za uhakika kutoka kwa wapambanaji!
  13. J

    Tanzania ya 'Rais Lowassa'

    Jamani let us be fair, hii miaka minne ambayo EL amekaa nje ya "madaraka", imemwondolea EL kwa kiasi kikubwa uwezo wa kutusaidia wanamtandao wenzake. Hivyo ni halali kabisa kwa EL kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2015 ili kuwezesha, baada ya ukame mkubwa, kutwaa angalau mgodi moja au miwili ya...
  14. J

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Malaya wa kisiasa ni mtu wa kutangatanga toka chama hiki kwenda kingine, kama vile Lyatonga, Mpendazoe, Marando, Maghimbi, Shibuda, Tambwe Hiza, Shitamballah n.k. Sitta na Mwakyembe wametangatanga kutoka wapi na kwenda wapi kustahili nkuitwa malaya wa kisiasa? Lililo wazi hapa Mkuu, hii miamba...
  15. J

    Mwakyembe mgonjwa; afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima

    NIMETOKA SASA HIVI KWA MWAKYEMBE AFYA YAKE KWELI IMEDORORA SANA LAKINI CHANZO BADO KUJULIKANA 100% Ahsante kwa taarifa ambazo zimenifanya leo asubuhi niende nyumbani kwa Mwakyembe, (Mtongani, Kunduchi Beach, Dar es Salaam). Kwa kweli afya ya Mwakyembe ni mbaya sana. Kwa wengi waliomwona katika...
  16. J

    Nape waombe radhi serikali ya mapinduzi Zanzibar, adai Seif alikubali muafaka sababu ya njaa zake!

    Ndo nini "na weye" Yahye kuandika kwa lugha ya kiingereza ambayo huijui sawasawa? Mtumee! Si Nape tu, sehemu kubwa ya Watanzania wenye akili wanauona muafaka kuwa dili la ulaji tu! Mwacheni Nape awapashe, Mdebwedo!
  17. J

    Tungekuwa na kina Mkinga mia CCM ingenyooka

    Siyo CCM tu hata CHADEMA akina Slaa wangenyooka, wangeacha kuoa wake za wenzao na kuwapa mimba huku wakiwaita "mchumba".
  18. J

    CHADEMA wawakejeli waasisi wa CCJ; Wasaliti waomba kazi za CDM kuziuza kwa CCM - Mbeya

    Sitashangaa kama Edo Mwamalala ni wale darasa la saba wanaojitokeza ghafla bin vu na digrii za internet na kujipenyeza kwenye vyama na kuukwaa uongozi. Badala ya hoja kujibiwa na hoja, Mwamalala goes for CCJ! Extremely cheap indeed!
  19. J

    Symbion Power acquires DOWANS Power plant

    hii ni richmond nambari 2, hatukomi!
  20. J

    Mtikila ampa siku 7 Ridhiwan aende mahakamani

    Porojo za kisiasa au uelewa mdogo wa sheria? Mtu anapokupa siku kadhaa ufanye kitu fulani ama sivyo anakwenda mahakamani, ana maana siku hizo exactly zinapoisha au baada ya siku hizo kuisha anaanza mchakato wa kisheria? Mchakato wa kisheria Mkuu huchukua siku au wiki kadhaa, hukurupuki tu na...
Back
Top Bottom