Search results

  1. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    wewe huoni kama serikali ya DRC imeshindwa kuleta amani estern congo?
  2. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Unajua katika familia lazima pawe kiongozi wa kuleta order /displine sasa M23 ndiye kiongozi pekee anaeweza leta order pale estern congo,kuhusu uzalendo M23 ni wazalendo kama wengine ndani ya congo.
  3. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    AHAHAAHA...Ungejua katika hayo makabila ya wahangaza,waha,wahaya n.k kuna matabaka ya watutsi ndani yao,sio kitu cha ajabu,hawa wote wanamahusiano na hizo nchi za burundi na rwanda kabla ya hii mipaka iliyowekwa na wazungu.
  4. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    ahahaha....nimerudi ,mimi mzima wa afya BUKYANAGANDI.
  5. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Mbona watusi walikua jeshini tangu zamani katika jeshi la congo,naona wewe utakua interahamwe tu,hao watutsi wa congo walikua serikalini,jeshini hata wakati wa mobutu,lakini baada ya kuja interahamwe wakongo walianza kuwabagua watutsi na kuanza kuwaondoa jeshini na kuwaua na huko uraiani...
  6. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Lakini wanauwezo wa ku vuruga usalama wa rwanda,na nafikiri unajua role ya usalama katika uchumi wa nchi.
  7. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Hi kwa akili yako rwanda inaweza watuma wanajeshi wao kwa nchi nyingine wakiwa wamevaa sare zenye bendera na vitambulisho?hao askali walichomolewa mpakani na makomandoo wa nterahamwe wakakabidhiwa DRC ili watumie kama ushaidi kwamba rwanda iko ndani ya DRC.
  8. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    ahahaa hivi unafikiri vita nirahisi hivyo?tofautisha mtu anaepigana kutafuta haki yake na mtanzania ambae kaenda pale without any interest,wale ni wazawa wa pale wako tayari kupigana kwa muda mrefu sana,unafikiri ni nani anaweza vumilia kuona maiti za watu wao wakifia nchi ambayo si yao?
  9. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Nikuulize yule kiongozi wa alshababu msumbiji ni mtanzania lakini anaongoza wanamsumbiji,sasa tanzania ilaumiwe?yule alikua kama che guvara tu hakuana cha ajabu hapo
  10. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Kwa taarifa yako estrn congo ni shamba la mama,hakuna serikali huko,kila Genaral wa jeshi la congo anakikundi chake huko kinacho mchimbia madini,business people wanavikundi vyao huko,ndio maana inakua vigumu kuviondoa hivyo vikundi huko congo,sasa imagine Jeshi la DRC,FDLR ,NYATURA,MAYIMAYI...
  11. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    ahahaha..hivi ni jeshi gani la nchi jingine linaweza ingia kichwa kichwa kwa nchi nyingine likiwa limevaa sare za jeshi lenye bendera na nembo ya nchi?kingine sare za rwanda zinafananaje?Je M23 haiwezi nunua sare zinazofanana na za rwanda au tanzania?sare sio kigezo cha kuamini kwamba rwanda iko...
  12. M

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Acheni kusingizia rwanda,hao DRC na M23 walifanya makubaliano na DRC mpaka sasa bado haijatimiza ahadi zake ,hiyo ndio sababu ya mapigano,haya ya rwanda kuitaka kivu ni uzushi tu,viongozi wa DRC wanatafuta uungwaji mkono wa wananchi wao na mataifa yanje,lakini ukweli ni kwamba DRC haitaki ku...
  13. M

    Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    Hivi unaweza fanya ujasusi tanzania,mwaka mmoja,miwili ....tatu hujakamatwa?watanzania wako vizuri kwenye ujasusi,hebu acheni wasiwasi usio usiokua na ushahidi.
  14. M

    Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    Unachosema ni kweli wakati wote wananchi wakiingiliwa na hizo itikadi za kibaguzi hayo ndio matokeo yake,na watu ambao wanapenyeza hizo itikadi ni wahutu ambao wameweza jipenyeza tanzania.
  15. M

    Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    Hivi hata kama biteko ana asili ya rwanda na akawa na uraia wa tanzania na kaaminiwa na wananchi wakamchagua kama mbunge wao,nchi ikamuamini ikampa wizara na kaiongoza vizuri,hiyo wasiwasi uliyonayo unaitoa wapi?kama wewe sio interahamwe?
  16. M

    Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    Nafikiri mnyarwanda wa sasa hahitaji uraia wa tanzania,anahitaji kufanya biashara na tanzania,na mnyarwanda yeyote mwenye pesa yake akitaka kuwekeza tanzania hawezi kuzuiliwa,uoga wa aina hii nikuonyesha kutojiamini na kuamini vyombo vya usalama vya tanzania,inabidi watu tufunguke wakati huu ni...
  17. M

  18. M

    Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    Unajua watanzania sio wabaguzi tangu zamani,lakini baada ya kuingiliwa na wakimbizi wa kihutu wenye itikadi ya kibaguzi wamefanikiwa kuwaroga baadhi ya watanzania ,ndio maana tunaona watu wenye mitazamo ya kiterahamwe,mtutsi ni mtu kama mtu mwingine,kama kawekeza ni kwafaida ya watanzania na...
  19. M

    Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    Watutsi wa DRC walikuwepo pale hata kabla ya hiyo mipaka ya berlin ,pale ni kwao lakini kwasababu umeisha ingiwa na sumu ya uterahamwe huwezi elewa,vita ya DRC ilikuwepo tangu zamani na imekua mbaya baada ya interahamwe kuvamia estern congo,sasa wanachofanya hao M23 nikujihami na hao interahamwe...
  20. M

    Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    Hili neno Bahima Empire nikitu cha uzushi tu,katika karne hii utawezaje kuweka empire?hawa watu wenye chuki na watutsi walitafuta kitu cha kuwatenganisha waafrika kuwafanya watufulani kujiona watutsi/hima na wengine wahutu ili pawepo uadui kati ya makundi hayo mawili na watu waishi wakiwahofia...
Back
Top Bottom