Search results

  1. K

    Israel yatoa hofu kwa mataifa ya Kiarabu kwamba haitawagusa

    Do not get carried away by a one-sided-story. Find the other side's opinion of the matter so as have a fair and informed opinion of the matter.
  2. K

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Kampuni itakayokidhi vigezo husika ipewe kandarasi bila ubaguzi wa aina yoyote!
  3. K

    Wanaoongoza kuinyonya Afrika sasa ni Asia, sio wazungu au Magharibi

    Huko wanaenda sana, ila kwa vile hawafi-maji ndio maana husikii habari zao!
  4. K

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Tanbihi....Wakati Rais Benjamin Mkapa anwapa Waislamu Chuo cha Tanesco wakigeuze kuwa chuo chao kikuu, Wakristo walishapewa Chuo cha Benki Iringa walichokifanya kuwa Chuo chao Kikuu... Ben alikuwa anaweka sawa mizania, hakuwapendelea Waislamu.
  5. K

    Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Mbona hamtupi habari iliyokamilika kuhusu mkutano huo ili tuchangie mada...
  6. K

    Israel katika mazungumzo na Kongo na nchi nyingine kuhusu mpango wa 'uhamiaji wa hiari' wa Gaza

    Kuwahamisha Wapalesyina kwa nguvu au kwa hila kutoka katika ardhi yao, udharimu uliokithiri, uvunjifu wa sheria, na ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadamu. Wapalestina na Wayahudi walikuwa wakiishi kwa kushirikiana kwa miongo mingi kabla Mazayuni hawajaja na njama za kuwafarakanisha ni kutaka...
  7. K

    Wanasiasa (Zitto na Kitila) acheni kuingilia mambo ya mipira, Mnategemewa kuwa mfano katika kuheshimu mamlaka

    MJINGA ni yule anayetoa maoni yake lakini anakashifu maoni ya wengine kwa vile tu yanakinzana na utashi na matamanio yake! Katika hilo hata ngumbaro anadiriki kumkebehi mtu kama Prof Mkumbo na Msomi Zitto kabwe kuwa ni wajinga! huku akishindwa kukosoa ama kujadili haja walizotoa kimantiki...
  8. K

    Rais Samia kwanini nawe nakuomba usiyaamini Matokeo ya Jana ya Kidato cha Sita ya nchi nzima?

    Watanzania kwa kutojiamini wapo wengi sana...Kila mara hawaoni kama wanaweza kufanya makubwa bali wanadhani majirani na wale wa majuu ndio wenye haki miliki za kufanikiwa lakini sio wao...Ni Ujinga uliopitiliza. Wanaosema matokeo ya kidato cha sita ya mwaka yana mushkeri watoe data za kuunga...
  9. K

    Azam tv msirushe tamthilia yenye jina hili, mtakosea

    Umekurupuka mzee.Tamthiliya ni sanaa na maudhui yake yanaweza kuwa na tafsiri tofauti katika hadhira tofauti, na inaposababisha mjadala mkubwa, ndiyo kiashiria kuwa ujumbe uliokusudiwa umefika umefikishwa!
  10. K

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Soma kwa makini....Ni roho za wafu ndizo zitakuwa barzakh baada ya kuachana na miili wakati wa vifo!
  11. K

    Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Na wapi kwenye Biblia Yesu ametamka kuwa yeye ni Mungu ? Rejea pia Ufunuo 3:12 pale Yesu mwenyewe akimtaja Mungu wake.
  12. K

    Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Hoja muflisi iliyojaa unazi usio na tija. Kwani umesikia kodishiwa na serikali, au hana haki ya kukutana na timu ya wananchi anayoipenda dama dumu?
  13. K

    Ni nani hasa huitumia ndege ya Rais wetu 5H- ONE Gulfstream G550 maana inaonekana ikizurula tu mikoani na kupaki Zanzibar?

    Mzee usikurupuke, vuta subira kwanza na ufanye utafiti wa kina kuhusu jambo ili kupata ushahidi usio na shaka kuhusu unachokizungumza. Kwanza hiyo ndege ya Rais aina ya Gulf stream ina uwezo wa kutua viwanja vikubwa na nakumbuka viwanja hivyo vilitajwa kuwa ni pamoja na Uwanja wa Kimataifa wa...
  14. K

    Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

    Ufala kujadili hoja zisizo na tija na zilizokwisha pitwa na wakati. Kama huna cha maana cha kunena ni bora ukakaa kimya!.
  15. K

    Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

    Hadithi ndefu lakini haioneshi ushahidi wa madai kuwa serikali inataka kuwaondoa Wamasai ili iliuze eneo kwa kampuni Ortello (OBC)...Nilichokisoma ni dhahania tu na upigaji ramli chonganishi! Serikali ina wajibu wa kulinda watu wake na raslimali zake katika uwiano muafaka wa win-win situation...
  16. K

    Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

    Mungu usipomshukuru anapunguwiwa ni au ukimuabudu anapata faida gani? Kwa mukhtadha wa hoja zako dhaifu jibu ni kuwa hapati faida yoyote na hapungukiwi chochote! Ndugu yangu Dini ni imani. Haihitaji akili za kimantiki wala utashi wa kibinaadamu kuamini Ukuu wa Mungu, na wajibu wa binaadamu...
  17. K

    Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Dogo jinga weye jitambue weye! Umri wa miaka 42 bado unaishi kwa baba yako kweli? Kwa umri wako na elimu yako ungepaswa sasa uwe unamsaidia baba na mama yako kujikimbu kimaisha kama fadhili ya kukulea na kukosomesha na sio kudai eti 'mgao wako'! Unataka kumrithi baba yako kabla hajafariki...
  18. K

    Kitoga ni samaki mtamu hakuna duniani

    HUJALA samaki aina ya Mbelele weye wa ziwa Nyasa...ungessahau kitago wako wa maji ya ngunja na kusimulia mengine!
Back
Top Bottom