Hivi ni nani ambaye hataki kulipa fidia kwa walioumizwa ? DC anamwelekeza nani kulipa fidia ? Hivi huyu Mwakilishi wa Rais Magufuli anampelekea ujumbe gani boss wake ? Kwamba serikali ya Magufuli inakandamiza wananchi wake mpaka wanaandamana ? Hivi kumbe hii sio serikali ya wanyonge kama...
Kitendo cha CCM kuanza harakati za kumpigania humu kwa mtandao ni wazi mnajua alikosea , kwanini CCM ndio mnakuwa wa kwanza kulalamika kuwa CHADEMA inataka kumchukulia hatua Diwani wake ? CCM ambayo leo ukituhumiwa kwa Rushwa unapandishwa cheo , hakika ndio CCM Mpya hiii ya Polepole...........
CHADEMA Inawatesa sana , hizi ni dalili za kuchanganyikiwa , eti kila atakayepinga Hoja ataitwa katumwa na CHADEMA .....Wafngeni midomo tu , si mmeshaanza kuona kila mmoja anatangaza kuwa hatagombea uchaguzi ujao?
Whether negative or Positive .....this is Free .Publicity from Gambas ..........CHADEMA inasikika kila siku , kuna watu wanapitia headline za thread tu hawasomi content ....wanaikuta CHADEMA kuliko CCM
Walizusha kwamba Wabunge wa CCM wamehongwa milioni 10
walizusha kwamba hospitalini hakuna dawa wala chanjo
walizusha kwamba wanafunzi wa elimu ya juu wamekosa mikopo
walizusha kwamba Shigongo anaidai CCM
walizusha kwamba CCM imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake ktk kampuni ya uhuru
Jipeni...
Wekeni ushahidi wa Mbowe na Halima kudaiwa sio kuja na porojo hapa , na kama kweli wanadaiwa ni miongoni mwa waliokiuka masharti ? Acheni kuchafua watu kwa sababu za kisiasa , mmeona jina la Ridhiwani likienda peke yake halina mvuto sio ?
Wekeni ushahidi sio kuandika kwa taarifa nilizonazo...
Hoja ni pamoja na Push ups ambazo leo uchumi unayoyoma ..........Mbona hatuoni tena mbwebwe za kuongea vilugha vyote vya kienyeji ? KUNYWA MAJI MWANANGU
Nchi ya Viwanda wakati viwanda vinafungwa kwa kukosa nishati na gharama kubwa za uendeshaji .......badala ya kutafuta mbinu za kuokoa uchumi mnakalia Propaganda tu.........Mnaendelea kuisoma number ......
Hamtaki akosolewe sio , haya atekeleze ahadi ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo na aanze walau msingi wa kiwanda kimoja ili tujue anatupeleka Tanzania ya Viwanda ...
Sasa huyu Pro Pesa naona kaishiwa kabisa , anajitafutia umaarufu kupitia CHADEMA anafikiri ataweza , alishindwa enzi hizo akiwa na nguvu ni sasa anapepesuka ndio ataweza ? Mzee Mnafiki sana Maalim kamuumbua jana kumbe alimwambia Lowassa aende NCCR-Mageuzi ...kwa sababu ya wivu wake dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.