Search results

  1. maishapopote

    Jirani yangu anafanya kazi gani?

    Hapana mkuu sina gari sema kuna siri flani za biashara ukizijua hela itakusumbua kidogo sana mi napata ya kula tu...kwa mfano ukiweza kuwa na biashara ya peke yako au soko la peke yako au ukatatua changamoto ambazo watu wengi zinawasumbua hutalala njaa Mfano: fungua kampuni ya kukata tu ukoka...
  2. maishapopote

    Jirani yangu anafanya kazi gani?

    Wakuu nitawaambia kitu huyu jamaa mnamshambulia bure tu... Mfano mzuri ni mimi... Sina hela nyingi hapana...ila kuna lifestyle naishi naona kabisa inawakera majirani na watu wote wanaonizunguka...ratiba Saa tano asubuhi hadi saa sita natoka home( na mguuu) Saa nane naenda kijiweni ni baa flani...
  3. maishapopote

    Never date a girl who can't respect your wife

    Nafkiri kashindwa kupenetrate soko la dar...soko la dar la kishenzi wanacopy sana aisee..plus kodi halafu ushindani mkubwa sana
  4. maishapopote

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Hoho nayo ni pasua kichwa
  5. maishapopote

    Prayers, hardworking and discipline

    Pambana mkuu jitahidi...nakazia hapo kwenye dicpline ndio tatizo lenu boda k zipo tu tafuta hela kwanza mkuu Pambana!
  6. maishapopote

    Never date a girl who can't respect your wife

    Aisee leo you made my day...kwanza nilikua sijawahi skiaga hili neno jobo...siku moja nakula zangu bia mahali na mtoto mmoja wa mjini akaja mshkaji mmoja hv kumfata huyo jamaa nilikua nae tukaiva sana jamaa akaniambia acheni bill yote naclear mm...tukamoka kweli kweli...baadae kwenye...
  7. maishapopote

    Stori gani ushawahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe kamba?

    Gibson Sembuli...eti alipiga penati akamwambia kipa ukidaka unakufa au iache ipite ichane nyavu kipa akasema bora nife Akadaka ikampiga kifuani akafa kipa yule maskini... Kumbe kamba...Bro wangu alikuwa muongo RIP bro..hiyo ilikua 90 au 91
  8. maishapopote

    Wanawake wavivu ni mzigo wa mateso kwa kwa watoto na mwanaume, epuka kufungamana nao kama unajipenda

    Bahati mbaya unakuja kukuta ulishamuoa na mna watoto.....!
  9. maishapopote

    Zijuwe koo za Simba

    Incest...is Real!
  10. maishapopote

    Nahitaji anayeweza kufundisha ujasiriamali

    Naweza kukusaidia hapa njoo inbox nikupe mwalimu bure....ww mtakubaliana malipo
  11. maishapopote

    Picha ya babu yetu aliyeacha kununua shamba la heka 500 kwa Tsh. 30 akisema hawezi kuishi Kimara porini kwenye fisi!

    Huyu ni Freeman Aikael Mbowe...na usisagau kazaliwa mwaka 1961...so kwa kuangalia hapo ni miaka ya 79 au 80...hata kama unamchukia mtu Mheshimu....!
  12. maishapopote

    Yanayonikuta London (UK)

    Kwa akili yangu ndogo upo kwenye hatari sana Sasa hv uchawi uko very advanced wanachokifanya wanauchanganya na technology...hapo inakua balaa na ndio kinachokutokea...kama kuna research unafanya ya kuhusu racism na unajua itawagusa wakubwa rudi tu nyumbani..hao jamaa hawashindi kitu...Epstein...
  13. maishapopote

    Yanga ndio wanawafanyia umafia Simba, Jwaneng wapo Avic Town

    Avic town inamilikiwa na avic tanzania ltd Na Avic inamilikiwa na Catic International ltd Yanga wakienda hapo wanakodisha...na Simba nayo ikitaka inatuhusiwa kukodisha haimilikiwi na GSM...inamilikiwa na wachina waliijenga ili wauze nyumba wakakosa soko
  14. maishapopote

    WanaJF wa humu wengi ni wabaguzi

    Ukute mixer ndio wife sasa..(sociopath)
  15. maishapopote

    Ukatae au ukubali Kilimanjaro ndiyo mkoa wa watu wanaojielewa

    Wachaga ni wachawi sana Wakabila Hawana maendeleo Walevi sana Wanawake wao wabaya Wavivu Wahuni sana Wachaga hawa ni wezi wabkutupwa kila siku wanauawa kwa ajili ya wizi.... Tuendeleze chuki kali dhidi ya wachaga..maana ndio kilichobaki hatuna cha kuwafanya... Wachaga...
  16. maishapopote

    OZ " The name on the Street for the Oswald Maximum penetentiary"

    Kareem Said na wale kina oreilly..aisee sitakaa niisahau hii series
  17. maishapopote

    OZ " The name on the Street for the Oswald Maximum penetentiary"

    Adebisi...jamaa alikua mnyama mnigeria yule sijaona..namkumbuka ryan na ndugu yake Pia namkumbuka omar niliiangalia 2009
Back
Top Bottom