Search results

  1. K

    Extremely rare pink diamond discovered in Tanzania

    How much tax have they paid to the govt of Tanzania?
  2. K

    House for Rent

    A 3 Bedrooms House, fully furnished, fenced and has a large garden is available for rent immediately. The house is self-contained with two toilets - cum showers. The house is located in a fast up - coming commerial town of Babati in Manyara Region along the Mrara exclusive area. Previous...
  3. K

    MS.Word sale prohibited as of Jan 2010

    Hii ni big threat kwa Microsoft Word and Office users. When they say Microsoft will keep supporting them, what they don't say is until when and what is the substitute. Haya ndiyo madhara ya Technology depedence, hatuna jinsi.....wakuu mnasemaje? what is the way out?
  4. K

    Coming soon: The tallest building in Tanzania?

    At least huyu ame invest Bongo, siyo wale wengine wanaokwapua raslimali zetu halafu wanapeleka nje na kutuachia mashimo.
  5. K

    Business Opportunity kuwa ISP Mikoani na Wilayani

    Habari njema hii. Nipo kwenye Cybercafe business na ningeoenda ku upgrade to ISP, please ningependa kupata more info, tuwasiliane via bmkunyi{at}gmail{dot}com
  6. K

    Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM

    Wanaopinga mahakama ya kadhi wanapinga kitu wasichokijua, hii ni dangerous, na kwa kweli wamekurupuka kupinga. Mahakama hii ilikuwapo hapa (Tanganyika) wakati wa ukoloni na baada ya uhuru, lakini ilifutwa wakati wa awamu ya kwanza ya uongozi wa nchi hii bila sababu wala maelezo. Zanzibar bado...
  7. K

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    These are the true colors za wakatoliki, sasa makucha yapo nje nje. Niwakumbushe tu usia wa Baba wa Taifa kwamba chonde chonde waachane kabisa na dhambi hii wanayotaka kuitenda ya ubaguzi kwa misingi ya dini, hawatakaa salama hata wakichukua dola.
  8. K

    Mkanganyiko katika Gharama za Vocha za Simu

    Hawa ni mafisadi, wanatafuta pesa za takrima kwenye uchaguzi wa 2010. My advice...nunua line nyingine not Vodacom, wateja wengi wakianza kuwahama watapunguza bei tuu...
  9. K

    Utendaji wa Fred Mpendazoe akiwa NEMC

    Huyu Mpendazoe ni Mbunge wa Jimbo la Kishapu, Shinyanga na mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds Ltd upo katika jimbo hilo. Mgodi huo uliokuwa ukimilikiwa na De Beers SA uliuzwa kwa $10M kwa kampuni ya Petra UK bila ya TZ Govt, ambaye ni 25% shareholder, kushirikishwa na Mpendazoe akiwa Mbunge...
  10. K

    New Member

    Hi all, ndiyo kwanza nimejiunga na JF, I hope nitajifunza mengi na kutoa maoni yangu pia. Big up to you all. Korokocho
  11. K

    Sumaye ndani ya Uingereza!

    Hi Wana JF, have just joined in as a new member. Nategemea kujifunza mengi na kuchangia pia. Big up to all JF members.
Back
Top Bottom