Duh nimesoma comment zote bila uchovu..kuna vitu vingi najifunza kuhusu maeneo ya kazi kuna taasisi naona ni bora iongezewe majukumu kuliko kujikita kwenye afya na usalama mahala pa kazi basi ifikie ba huku..
Pole sana kwa tatizo ulilonalo..
Niliwahi kushauriwa nikiwa na mgonjwa wangu kuwa ajaribu kufanya mazoezi ya kupumulia kwenye mapulizo...yaaani kulijaza kwa kupuliza kila mara..
Walivyotishiwa biashara ziliendelea na kodi zilikusanywa na faida tulipata, kwa hali ilivyo sasa ni hasara...samaki, upatikanaji wa huduma muhimu kama ashine ya ku pampu maji nk ni shida
Kwenye kazi ngumu kidogo za kifasihi nilizowahi kusoma nibza huyu mwandishi, nilitsmani kuandika ka yeye, wahusika wake walikuwa wapo vizuri ni lazima usome sana falsafa na hata saikolojia, kwa upande wa upangaji wa matukio alikuwa vizuri...
Halafu vitabu vyake ni kama series vile, mfano...
Kuna ambazo niliziona ni ngumu ila baada ya kuzimaliza nikaona ni rahisi tu, sema series nyingi ambazo ni ngumu zinabase kwenye utafiti na mawazo ya kwenye vitabu sasa inakubidi uwe unatazama na unatafuta finding zako kwenye vitabu...mostly ni zile ambazo zina falsafa na uchunguzi au operesheni...
Hawa jamaa ndo wenye mnofu kama wa kambale mkubwa aliyepasuliwa katikati.
Tunawachanja sana na majembe ya tractor wakati wa kulima
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi kuna harufu za viazi vitamu vya kuchoma sijui nayo ni nini? Nipo porini sana sema kuna tambarare pana na baadhi ya mito nasubiri nijue ni kitu gani hiki hii harufu inakolea mno majira ya saa mbili usiku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.